Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
origin yao ni maeneo yenye bahari nk ila sio limitation ya yeye kuishi sehemu zingine,hata mkoa wa arusha ni wengi sana, ni aquqtic birdsLakini mkoa wa shinyanga ni mkame na hao ndege ni wengi sana
yaap ila wanafanana sanaAlaa kumbe huyu haitwi kimelanzoka
Huyu anaitwa Marabou stork aka ndege john,babu nkhuyu ndio kimila nzoka yaani kimeza nyoka blue heroin
View attachment 486168
Ok nimekupata mkuu ahsante sana kwa kunijuza uzuri.huyu ndio kimila nzoka yaani kimeza nyoka blue heroin
View attachment 486168
Karibu mkuu,hii ndio proffession yangu sema nime skip kidogo but nawajua sana hawa viumbe na wanyama kwa ujumlaOk nimekupata mkuu ahsante sana kwa kunijuza uzuri.
karibu mkuuUsijali mkuu kitakachonitatiza nitakutafuta.
Kuleeeeeee mbali.Ahsante mkuu kwa ufafanuzi ni wapi huko ndege huyu huitwa tai?
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri kuhusu huyu ndegeHao asili yao ni aquatic yaani wanapatikana sehemu zenye maji mengi kama bahari nk ingawaje wanaweza kaa sehemu yoyote hasa anapokuwa mzee kwasababu ya kufuata chakula baadaya uwezo wake wa kutafuta chakula kupungua,ndege wengi wenye midomo mirefu na miguu makazi yao ni sehemu zenye maji mengi
karibu mkuuAsante mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri kuhusu huyu ndege
Haswa pengine anaitwa majina tofauti kulingana na mtazamo wa sehemu husika.Basi kwa makabila ya tanzania 124, baadhi yao wana jina naye mfano sisi tunamwiita "DYOVU"
Ndio mambo ya msasani = musa hasani na kolomije😀Sio mwarabu bali ni marabou stork,sasa waswahili tunaitamka kama mwarabu stok[emoji1545]