Kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?

Hata wewe umechanganya desa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwenye picha ya yule mtoto akilia alipokuwa karibu na huyo ndege
 
Sijawahi sikia hili jina miaka 39 ya pumzi zangu,nadhani hata ningekufa Leo nikafika mbinguni nikapata mtihani wa kuwekewa picha ya hilo dege ningefeli na jehannam ingenihumu shukran kwa kunijuza "ndege mwarabu"
 
Haahaaa
 
Anaitwa Ndege John jina rasmi... Mtaani anaitwa Bwana Afya utampata pale viwanja vya furahisha, Mwaloni, hapa mitaa ya vick fish mpaka kwa mswahili kama unatoka igogo kwenda nyegezi, kamanga ferry, iloganzala na maeneo mengi yenye uchafu hasa wa samaki (chakula chao) jina la ndege mwarabu ndokwanza naliskia kwako. mi nimezaliwa na kukulia mwanza (Sio Kolomije) ni town kabisa hapo kauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…