Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka.
Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat itatoka ikiwa na mtu aliekaa na kushuka baadae kwa msaada wa parachute.
Ni Teknolojia iliyokuwepo tokea miaka ya 1940s.
Sasa, kwanini commercial airlines wasimodify kidogo na wao wakaweka kwenye ndege, likitokea la kutokea rubani anabonyeza button abiria wote wanarushwa hewani?