Kwa jinsi ndege za abiria zinavyoundwa ni ngumu sana kuweka ejector seat, kama. Picha zako zinavyojieleza hapo juu, utaona kuwa ejector seat huwa inaondoka na roof nzima ya hiyo ndege, pili hiyo mechanism ya seat ejection natumia nguvu nyingi sana na si kila mtu anaweza ku survive hizo g force, hao wenyewe marubani wenye mafunzo kibao wakifanyaga hizo ejection, wanaweza kutumia muda fulani hospitalini hadi wakae sawa, na Kuna wengi wamekuwa walemavu wa maisha, kuvunja uti wa mgongo ni chap tu kwenye. Seat ejection.Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka.
Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat itatoka ikiwa na mtu aliekaa na kushuka baadae kwa msaada wa parachute.
Ni Teknolojia iliyokuwepo tokea miaka ya 1940s.
Sasa, kwanini commercial airlines wasimodify kidogo na wao wakaweka kwenye ndege, likitokea la kutokea rubani anabonyeza button abiria wote wanarushwa hewani?
Mkuu umeandik kama vile haiwezekani kabisa. Wakiamua wanafanya tuu.Kwa jinsi ndege za abiria zinavyoundwa ni ngumu sana kuweka ejector seat, kama. Picha zako zinavyojieleza hapo juu utaona kuwa ejector seat huwa inaondoka na roof nzima ya hiyo ndege, pili hiyo mechanism ya seat ejection natumia nguvu nyingi sana na si kila mtu anaweza ku survive hizo g force, hao wenyewe marubani wenye mafunzo kibao wakifanyaje hizo ejection wanaweza kutumia Muda fulani hospital hadi wakae sawa, na Kuna wengi wamekuwa walemavu wa maisha, kuvunja uti wa mgongo ni chap tu kwenye. Seat ejection.
Walishawaza hayo muda na R & D za kutosha ikathibitika haiwezekani.Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka.
Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat itatoka ikiwa na mtu aliekaa na kushuka baadae kwa msaada wa parachute.
Ni Teknolojia iliyokuwepo tokea miaka ya 1940s.
Sasa, kwanini commercial airlines wasimodify kidogo na wao wakaweka kwenye ndege, likitokea la kutokea rubani anabonyeza button abiria wote wanarushwa hewani?
Ungekuwa unafatilia mambo ya aviation ungeelewa ninachosema! Aviation industry ni moja ya eneo ambapo safety inachukuliwa kwa makini sana, chochote kinachoweza kuokoa maisha kama kinawezekana kinawekwa.Mkuu umeandik kama vile haiwezekani kabisa. Wakiamua wanafanya tuu.
Aircraft are like flying fuel tanks with people on top!! Kwa asilimia kubwa mafuta ndo kitu kizito kinachobebwa wakati wote wa safari. Inapotokea ajali, mlipuko hauepukiki.Au kwanini ndege isitengenzwe Kwa material yaliyounda black box ili isilipukage
Abiria wa kawaida sio mwanajeshi, mwanajeshi anayo mafunzo na stamina kuhimili hizo mbanga za ejection.Sasa, kwanini commercial airlines wasimodify kidogo na wao wakaweka kwenye ndege, likitokea la kutokea rubani anabonyeza button abiria wote wanarushwa hewani?