GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo (colored) is surely ila NDOA za kanisani sijui msikitini ni matatizo makubwa, pamoja na ibilisi kuzinanga kwa nguvu ili azisambataratishe ila zinaongoza kwa matatizo ukiondoa ile show off.Masuala ya ndoa ni kutanguliza Mungu tu ndugu yangu. Stability ya ndoa haina kanuni maalum aidha iwe bomani ama kanisani. Yaaani ni kama vile baadhi wa watu wanavyoamini eti ndoa za watu wa kipato cha chini hudumu zaidi kuliko za matajiri kitu ambacho si kweli hata kidogo.
Kwasababu kule kwingine kuna kaudanganyifu fulani "...alichokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha" hiyo statement inawapa jeuri wanawake kwamba hawawezi kuachika, matokeo yake wanakuwa wasumbufu na jeuri kupita kiasi mwisho wa siku wacha mbwai iwe mbwaiNgoja nimtafute Mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge nae Ndoa ya Bomani ( ya Serikali ) ili niishi kwa Afya, Amani na Furaha na hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
kwani sheria inasemaje? Au mpaka kifo kiwatenganishe, na kuongeza mke wa pili vipi wanaruhusu.Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.