Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Habari wa JF,

Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao wengi ndio mababu zetu hawakupendana but hawajatengana.

Akacheka daladala ikaja akapanda akaondoka.

Naombeni ufafanuzi hapo, shida ni nini?
 
Natamani nikujibu ila sasa nashindwa, shida yako ni huyo dada kupanda daladala kuondoka akicheka ama unataka ufafanuzi wa hilo suala la Ndoa, eti mdogo wetu..!!
 
Kakuona mvulana ww bado, yaani kakudharau sana, yaani kakuona fala sana, ndio maana kaondoka.. Swali gani hilo sasa na ww? Pumbaf
 
Natamani nikujibu ila sasa nashindwa, shida yako ni huyo dada kupanda daladala kuondoka akicheka ama unataka ufafanuzi wa hilo suala la Ndoa, eti mdogo wetu..!!
nataka tu ufafanuzi,
 
Kakuona mvulana ww bado, yaani kakudharau sana, yaani kakuona fala sana, ndio maana kaondoka.. Swali gani hilo sasa na ww? Pumbaf
ni namna ya kuuliza tu swali sio kwamba ni real
 
Maisha yanabadilika kila leo mkuu.Kwa hiyo hata kwenye ishu za ndo,hata km leo hii ungetafutiwa mke wa kuoa km ni wa kuachana,mngeachana tu.
 
Mambo yanabqdilika dunia ya sasa si sawa na ya enzi zileee walikuwa wanatafutiwa na maisha yanasonga vzr tu.
 
Back
Top Bottom