KWANINI NDONDO CUP NI NGUMU?

KWANINI NDONDO CUP NI NGUMU?

yaani ndondo cup iizidi vpl? huyu mleta mada ana tatizo la kwenda hospitali ya dom
 
Acha kufananisha EPL na uchafu uchafu wewe.

Wewe Ligi inachezwa na Mohamed Salah unataka kufananisha na ndondo cup ya kina Kijuso
 
Wakuu ndondo cup ni michuano ya wapi? Wengne hatujawah kusikia..
 
Back
Top Bottom