Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

CHADEMA kwishaa kabisa
 
Chadema kwisha habari yake,
 
Daaah chama langu linakufa hivi hivi,
 
CHADEMA is dying gradually
 
CHADEMA kwisha
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
 
CHADEMA ilishakufa
 
mtu anapanga mipango ya kuchafua amani ya nchi!!! aisee!!!
tumezaliwa tunaishi kwa amani, halafu mtu mmoja na kundi lake kwa uchu wa madaraka anapanga mipango ya kuvuruga nchi isitawalike!! kuwake moto, kuwe mshike mshike?!
Tumekusikia Kamanda Kingai ila AIBU kubwa ya kujia
 
CCM na chadema chama gani kimekufa mioyoni mwa watu kwa akili yako? Kama vp si muruhusu tume huru na ya haki tujue moja kama mnajiamini!
 
Ukisikia uzi maalum ndio huu..haya ongeeeni wee mkichoka mkalale..chadema ipo palepale [emoji1787][emoji1787]
 
Uzuri wanayo iunga mkono CHADEMA wapo iwe wengi au kidogo sana lakini wapo.

Na wapo wanayoiunga mkono bila kelele wala maandishi. Hilo ndio muhimu.

Hicho chama chenye wanachama wengi karibu raia wote wa nchi hofu ya nini?

CHADEMA kama ni chama cha wachaga si kifutwe tu. Mbona kutafuta visababu vingine, rahisi si ni kutoa ushahidi ili kifutwe?

Usalama na utulivu wa chama chochote kinachotawala ni kuvumilia upinzani na kutenda kwa haki.

Kinyume chake ni kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.
 
 
Ni ngumu sana kuuwa Imani ya mtu,wataalam wanasema usiongee Jambo kama hujalifanyia utafiti.ccm ili tukae sawa tunahitaji kupata uwanja sawa wakisiasa na vyama pinzani ilitujipime.tofauti na hapo tunajichimbia Kaburi kwa mikono yetu wenyewe.ili uwe mshindi lazima ushindane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…