Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

Chadema inaogopwa sana,angalia inshu ya katiba ilivho kaa la moto
 
Niseme tu kifupi kwamba mnaodhani CDM ni mpango wa muda mfupi mtakufa ninyi na kukiacha Chama kikimea. Hakuna aliyekuwa kwenye nafasi nzuri ya kuiua CDM kama JPM. Aliapa wazi wazi. Je unajua alipoishia huyu mtu?
 
CDM iko wapi kwa sasa mjomba?
 
Niseme tu kifupi kwamba mnaodhani CDM ni mpango wa muda mfupi mtakufa ninyi na kukiacha Chama kikimea. Hakuna aliyekuwa kwenye nafasi nzuri ya kuiua CDM kama JPM. Aliapa wazi wazi. Je unajua alipoishia huyu mtu?
Na tutawazika mbwa hawa
 
Chadema ni chama kilichojizatiti kuwa cha kikaskazini hususani WACHAGA, hata wamasai hawana sauti ndo maana hakina mvuto kitaifa
Hiki ni chama cha WACHAGA
Yaani ChagaDema

Mbowe kaiharibu chadema kwa matendo yake ya kificho.

Amani iwe nanyi wanaJf,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi
View attachment 2003106

Naona mnajitekenya wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…