Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

Swali gani?


CCM haitegemei polisi wala dola, Kivuli chenu kinawatisha tu

hahaha seriously,
sawa naona umekwepa jibu sahihi.

Still CCM itabaki kuwa CCM

Mnacho kipoteza ccm kwa sasa, ndicho wanacho ongezewa chadema kwa sasa.

ndomana, kwa mtazamo wako waona chadema imepotea,

wenzako washaona speed ya cdm, nawanatumia nguvu nyingi sana kuirudisha nyuma.

kadiri mnavyozima kwa nguvu ndo inazidi kuwaka.

God bless 🌍
God bless 🇹🇿
God bless wapinzani wote wenye kweli mioyoni mwao...
 
Mbona nasikia Kahama mlipata Digital members 60 nini kilitokea?

Wanaowapenda wamehama Kahama?
 
nyie ndio mlitakiwa kumwagwa kwenye povu la mkononi, mkaoshwa chooni

yaani na akili zako unaona chadema iko active???
 
Mbona nasikia Kahama mlipata Digital members 60 nini kilitokea?

Wanaowapenda wamehama Kahama?

Sina taarifa na izo namba, ko siwezi lijibia.

Ila nachoamini mimi,
sikila anae ipenda ccm, basi anakadi ya ccm..

Na chadema ni hivyo hivyo..
 
nyie ndio mlitakiwa kumwagwa kwenye povu la mkononi, mkaoshwa chooni

yaani na akili zako unaona chadema iko active???

Nashukuru mkuu,

huwezi kubishana na mtu alie takiwa kumwagwa kwenye povu la mkononi,

lasivyo naww utakua ni kama yeye tuu..

ukianza kuandika point nitakujibu..
 
Wewe ni muongo, Kituo kilikuwa kimoja tu
Kipindi najiunga humu kuwa miongoni ma wanajamii forum nilikuta ndo sehemu pekee watu wanajadili mambo kwa uwazi

Wewe unafikili labda najibu kama ambavyo wewe ufanyavyo kwa msukumo nje na ajili ako . Rock Point ndipo palifanyika zoezi hilo na kwa taarifa ako pale ukumbini waliondoka viongozi wa Kahama jimbo na kata na kadi kidogo saana na kupelekea kadi kuchapwa usiku kucha na kesho ake kutwa nzima . Nambie kipindi hicho wewe ulikuwa wapi ? Kutumika ni kubaya saana , jitathimini kwa hlo
 
Huwezi kuiua ila unaweza kuihamisha,

KAZIIENDELEE
 
Huo ndio ukweli mengine ni unafiki na fitina fulistop
 
CHADEMA kwisha kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…