Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

CHADEMA KWISHAAAA
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Na wanavyoendelea kupambana na hayati Magufuli ndio wanazidi kujimaliza kabisa

Mi sio Chadema ila sikuungi mkono kwa Magufuli magufuli aka Jiwe alikua kiongozi wa hovyo kuwai kutokea na jiwe alikua maana harisi ya dikteta

Raisi unakaa madalakan miaka 5 hulipi watu wasitaafu mafao yao
Ulipi mishahara wala kuongeza mishahara wakat uwo unapandisha bei za bidhaa

Leo tunalia uchumi mbovu aliechangia na sababu kubwa ya uchumi mbaya wa sasa mi Magufuri Raisi samia ana miez 6 tu atuwezi maingizia yeye alieharibu mfumo mzima wa maisha na uchumi wa Tanzania ni magufuli

Ndan ya miaka yake mitano biashara nying zimekufa ambazo zlikua zinachangia mapato makubwa anabaki kukomaa na Takataka machina kisa kutafta sifa za kijinga
Alitaka kuifanya chato kua Dar es salaam
Apalekeka ikulu ingne chato watu wakawa wanaenda kuapa viapo vyao chato

Magufuri ni Raisi wa hovyo kuwaikutokea ktk hiatoria ya Tanzania na na iman CCM ilo waliliona na naimani hawatokuja kurudia kuweka kiongozi wa hovyo km uyo aliejificha kwenye kivuli cha uzalendo wakat aniba mali za watanzania na kwenda kuwekeza kwao chato
 
Chadema haiwez kufa na bado chadema ni tishio kwa CCm na nazan itakua tishio zaidi pale gaidi mbowe atakapofungwa
Ila km ikitokea mbowe kashinda bas chadema inaenda kufa tena kifo kibaya
 
Niseme tu kifupi kwamba mnaodhani CDM ni mpango wa muda mfupi mtakufa ninyi na kukiacha Chama kikimea. Hakuna aliyekuwa kwenye nafasi nzuri ya kuiua CDM kama JPM. Aliapa wazi wazi. Je unajua alipoishia huyu mtu?

Mmakosea sana kujidanya kua nyie mlichangia kifo cha Jiwe yan huo ni ujinga na haiwasaidii ata kdg , Jiwe alikufa ila chadema hamkuchangia chochote na wala hakuna maobi yyte mliomba ni siasa za kishamba mnazotaka kuziendekeza
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Au Rais wa Afrika nzima nadhani mabeberu wangetukoma kabisa. Na angechukua vijana wachapakazi na wasomi kama huyu aliye naye wawe watu wa karibu kumshauri [emoji23][emoji23]

 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…