Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Umenena vema mwanzoni watu walifikiri CHADEMA kitakuwa chama mbadala wa CCM ila kwa sasa watanzania wengi wameshakipuuzia. Hata Kaskazini wameanza kukichoka
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Hatari tupu
 
Aliyekunyima akili alikuweza!
Uhai wa CDM upo ktk nguvu ya wananchi na sio nguvu ya mapolisi, usalama na ma-DED na kugushi kura.
 
CHADEMA ilishakufa kitambo sana
 
Chadema kwisha kabisa aise duuh watanzania sio watu wa mchezo mchezo,
Ni dalili mbaya sana za ujinga na maradhi kufurahia dola kuua upinzani na kuwasingizia wananchi!
Burkinafaso siyo mbali sana. Tunaweza kufika!!
 
CHADEMA haijakataliwa na wananchi Bali kikundi Cha watu wanaojiona wao ndio wenye hati miliki ya kulitawala Tanzania wao na watoto wao. Ndio maana uchaguzi wa 2020, mkazima Hadi mitandao kuhofia madhara yenu ya kuiba uchaguzi. Msiwasingizie wananchi kwa lolote. CCM ipo kwasababu jeshi na polisi wapo upande wao, lakini siku wakiamua kusimaama katikati, hali itakuwa mbaya.
 
Umeandika yakweli tupu,
 
CHADEMA ilikufa muda sana
 
CHADEMA people
 
Ni dalili mbaya sana za ujinga na maradhi kufurahia dola kuua upinzani na kuwasingizia wananchi!
Burkinafaso siyo mbali sana. Tunaweza kufika!!
Kazi ya dola sio kukuza Upinzani,
 
Aliyekuroga kafa na hirizi umepoteza. Hatusumbuki na CHADEMA tunasumbuka na adui mkubwa wa maendeleo ccm ambao mpaka sasa wametufikisha pabaya na kupandikiza akili za kidwanzi kama zako kwa raia masikini waliozungukwa na rasilimali lukuki za taifa.
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…