Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?;
Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu hata Nigeria kulikuwa na Kabila la Igbo (descendants of slaves) ilikuwa ni ngumu kuolewa...
Kwahio promotions na incentives zinatakiwa, Mfano karne hii ambapo watu wengine wanaona kuvuta mke gharama wanaweza wakasema hata Serikali inawasaidia na kuwapromote such couples kama mfano wa kuigwa...
Bila ya hivyo kwa hawa mahasimu nadhani itakuwa ni ku postpone the inevitability...; Vile vile kwa wale Watusi wa kule Kivu wajitahidi kuchanganya damu na wenzao..
Just my two Cents...