Kwanini neno Ambulance kwenye gari la wagonjwa huwa linageuzwa?

Mkuu, huwa yanapinduliwa ili dereva wa gari nyingine (ya mbele akiangalia kwenye vioo vyake) apate urahisi wa kuyasoma na kusaidia mambo fulani, mfano kuipa nafasi ipite, kuachia njia n.k

Kumbuka, maandishi husomeka kinyume kwenye vioo vya gari, yakipinduliwa hivyo maana yake yatasomeka kawaida.
 
Hii kitu ni muhimu sana kuokoa maisha ya wananchi na raia
 
Maelezo yenye logic na yana make sense, safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…