Anajua maana ya ule usemi, DONT BITE THE HAND THAT FEEDS YOU.Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake, Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM ' tuone Kama career yake haijaishia hapohapo, sio kilasiku kuonea 'vidagaa tu' watu wa bongomuvi na wanabongofleva wenzake, Fanya Kama alivyofanya sugu kwenye antivirus halafu tuone Kama utaendelea kuuza sura mjini hapa
We screpa kwani kwanini hao wanaolalamika wasiwe wakweli kama Ney?husikiagi malalamiko ya wasanii dhidi ya clouds?
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake, Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM ' tuone Kama career yake haijaishia hapohapo, sio kilasiku kuonea 'vidagaa tu' watu wa bongomuvi na wanabongofleva wenzake, Fanya Kama alivyofanya sugu kwenye antivirus halafu tuone Kama utaendelea kuuza sura mjini hapa
unadhan hana malalamiko nao? unadhan huwa anaridhika anavyolipwa laki moja kwenye show za fiesta? Ni vile tu hana ubavu wa kuwachana maana hata hiyo singo alilazimika kuizindulia hapo ili kuogopa kubaniwaWe screpa kwani kwanini hao wanaolalamika wasiwe wakweli kama Ney?
Ney hajawachana maana anfaidika nao ndo maana singo hii ilizinduliwa XXL