Kwanini Ney hawasemi Clouds Media

Kwanini Ney hawasemi Clouds Media

Aliichana BSS akaicha Clouds,.!? Huyu Neema mi ndo maana namuona ana genes za kike..
 
Aliichana BSS akaicha Clouds,.!? Huyu Neema mi ndo maana namuona ana genes za kike..
Neema ni muoga sana, anawachana watu anaoona hawawezi kumdhuru, kilasiku anawachana warembo na mablazamen wa bongomuvi
 
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake, Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM ' tuone Kama career yake haijaishia hapohapo, sio kilasiku kuonea 'vidagaa tu' watu wa bongomuvi na wanabongofleva wenzake, Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye antivirus halafu tuone Kama utaendelea kuuza sura mjini hapa
ha ha ha ha
thubutu ya mbuzi

muabudu shetani yule ajalibu aone kitakachomkuta
 
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake.

Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM' tuone Kama career yake haijaishia hapo hapo. Sio kila siku kuonea 'vidagaa tu', watu wa bongomuvi na wana Bongofleva wenzake.

Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye Antivirus halafu tuone kama utaendelea kuuza sura mjini hapa.

Nonsense.
 
Kuna mambo mengi yakufundisha jamii yetu kwa ujumla ikaelimika au ikaachana na mabaya inayofanya. Lakini Ney Wamitego kuwalenga masupastaa ni kama anataka kutafuta kick kupitia majibizano.
Sababu mengine kaingilia personal life ya mtu, sio lazima demu wangu umuone mimi sijui mshamba labda lkn hadi leo mke wa R.Kelly simjui.
Lakini watu wengine wanapenda mabando wanatangaza uchumba, urafiki, mimba kila mtu na maisha yake. NEY wa MAJUNGU
 
Back
Top Bottom