ha ha ha haNey ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake, Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM ' tuone Kama career yake haijaishia hapohapo, sio kilasiku kuonea 'vidagaa tu' watu wa bongomuvi na wanabongofleva wenzake, Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye antivirus halafu tuone Kama utaendelea kuuza sura mjini hapa
Ule wimbo aloshirikiana na dai vipi?Mi nataka amchane Diamond tu maana hajawahi kumchana.
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake.
Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM' tuone Kama career yake haijaishia hapo hapo. Sio kila siku kuonea 'vidagaa tu', watu wa bongomuvi na wana Bongofleva wenzake.
Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye Antivirus halafu tuone kama utaendelea kuuza sura mjini hapa.
Amchane kwani kafanya nini?Mi nataka amchane Diamond tu maana hajawahi kumchana.
Mmmmnn na mchane tuone NICK MBISHI
Mmmmnn na mchane tuone NICK MBISHI
Hayana ukweli wowotehusikiagi malalamiko ya wasanii dhidi ya clouds?