Kwanini ngozi nyeupe imekua kama dominant species dunian? Je weusi tulikuja badae ama?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Watu weusi tuko located kwenye bara la africa tena kusini mwa jangwa la sahara,.kwa maana hii nikwamba ,watu weus tuko idad ndoogo kabsa ya binadam ukilinganisha na watu weupe,na kadir siku znavoenda ndio inazid pungua,
Swali1.kuna uwezekano watu weus ndio viumbe vikongwe kabsa ulimwengun na kwa dhana hyo ndo tunaenda potea kabsa kama walivopoteaga dinosaurs.

2.kwakua watu weus ni wakongwe sana dunian yaan ni wakale zaid kuliko watu weupe,je kwa hali ya kawaida sio kwamba weus ndo wangetakiwa kua wameimaster dunia vilivyo,kimaendeleo ya uchum,siasa, upeo n.k ,kama swal la kwanza ni correct.

3.au laa ngozi nyeupe ambayo ime dominate dunia ndio watu wa kale zaid kuliko weusi na sis weus ni species mpya kabsa,na vice versa is true kwamba wao species yao ndo inapungua nasis ndo tunaongezeka na kwa hvo badae tuta dominate dunia na kua na maendeleo kama wao sasa.

4.kwanin kuna mafundisho kwamba bnadam alitokea kwenye nyani aka develope had now a modern man,na kwamba fuv la kale zaid dunian lipatikane africa.kwa weusi.

Ombi...jamii forum mim ni great thinker,sasa nashangaa had leo hamnipi hyo go ahead ya hlo jukwaa..ndomana mnanifanya sometime niandike vtu vy ajab,heb nifikirien jamen..kwanza inabid mnipandishe daraja,mi nipo hum kitambo sana
 
Sjakuelewa,
nilikuwa nakujibu swali la pili
wazungu wanaendelea kwa sababu ya kusoma vitabu sasa sisi wa Africa Hakuna hio tabia ndo maana wanzungu wanaweka nondo nyingi kwenye vitabu wakijua kabisa mwafrika hawezi enda kusoma kitabu akapata hayo maarifa.mfano mzuri ni vitabu vya dini kinafunguliwa tu pale mchungaji anapopasema ukitoka kanisani unafunika mpk juma pili ijayo
 
Story ya weus na weupe na swaga za kupandishwa daraja....
 
Ukitaka kujua dominant genes ni zipi kati ya jamii mbili, zizalishe.
Ukweli ni kwamba waafrika kusini mwa Sahara ndio watu wenye genes nzuri kuliko watu wote waliosalia duniani.
Haishangazi kuona chotara kati ya mzungu na mwaafrika huonekana mwaafrika.

Wazungu walianza kupata supremacy waliyonayo kwanzia karne ya 16 kutokana na mapinduzi ya kiuchumi na kisayansi ambayo mengi walijipatia kiutapeli(imperialism).Wazungu wamekuwa wakitumia myths kuaminisha watu wengine kuwa wao ndio bora zaidi ilihali ukweli ni wao ndio wenye gene hafifu.

Wazungu wametumia propaganda nyingi za uongo dhidi ya mwaafrika mweusi maana wanakuwa intimidated pindi wanapokutana na watu weusi.Wazungu wanajua fika kwamba bila hata ya kutumia vita, sumu, au biological weapon yoyote, waafrika wanauwezo wa kuwapoteza wazungu.Hii ni moja kati ya sababu za polisi wazungu kuua watu weusi Marekani bila sababu za msingi.

Wazungu wamefanikiwa sana kubrain wash waafrika pamoja na watu wengine kwamba waafrika ndio watu dhaifu zaidi duniani kwa hoja za umasikini pamoja na magonjwa yaliyopo Africa ilihali mambo yote hayo yamechangiwa na wao.

1950 waafrika walikuwa 9% ya wakazi wote duniani leo hii ni 16% na ifikapo 2050 waafrika tutakuwa 40% ya watu duniani.

Kutokana na vitendo vya ushoga, abortion, uvivu, pamoja na uzazi hafifu, wazungu wamepungua kutoka kuwa 38%(1950) hadi sasa wanakadiriwa kuwa 12% na inakadiriwa huenda wakaanza kupotea kabisa kwanzia 2100 na kuendelea.

Kulingana na tafiti za kigenetics, watu weusi ndio wenye genes imara ingawa wazungu wamechafua akili zao kwa kutumia shule, media, dini n.k.
 
This is good bro,umeeleza vyema..ila nachojiuliza ni,race ipi ilitangulia,white or black,najua ni swal gum,ila sidhan kama hzi race mbili zilitokea simultaneously,..lazma moja ilianza then ikafata nyingne,..sabab,kwanin m1 aliweza mlaghai mwingne kwa ujanja na mahesab makal ?lazma huyu mlaghai alikua developed mapema ki fikra,civilization n.k,...yaan huyu mlaghai naona aiimaster dunia mapema sana kuliko huyu alielaghaiwa.ndomana huyu mlaghai alikua na uwezo na uthubutu wa kuzunguka dunia nzima lookin for other adventures,..na tabia hii hajaacha,leo anarusha vyombo kwenda explore sayar zingne,perhaps ngoz nyeupe ndio ilitangulia hapa ulimwengun
 
Huenda kwenye ubongo kisehemu cha mda Mungu aliongeza maji kidogo kwa Mwafrika kwani hatuendi kwa mda. Wao wanajua "time is money "
 
This is good bro,umeeleza vyema..ila nachojiuliza ni,race ipi ilitangulia,white or black,najua ni swal gum,ila sidhan kama hzi race mbili zilitokea simultaneously,..lazma moja ilianza then ikafata nyingne,..sabab,kwanin m1 aliweza mlaghai mwingne kwa ujanja na mahesab makal ?lazma huyu mlaghai alikua developed mapema ki fikra,civilization n.k,...yaan huyu mlaghai naona aiimaster dunia mapema sana kuliko huyu alielaghaiwa.ndomana huyu mlaghai alikua na uwezo na uthubutu wa kuzunguka dunia nzima lookin for other adventures,..na tabia hii hajaacha,leo anarusha vyombo kwenda explore sayar zingne,perhaps ngoz nyeupe ndio ilitangulia hapa ulimwengun
Tafiti nyingi za kisayansi zikiambatana na shahidi zenye nguvu zimethibitisha kwamba asili ya watu wote ni Afrika. Ndio maana mabaki ya kale zaidi ya watu yanapatikana Afrika, mfano mzuri ni fuvu la Olduvai .Kwa maaana hiyo watu weusi ndio watu wa kwanza kabisa kuwepo duniani.Waafrika wa kale walianza kuhama kutoka Afrika kuelekea M.E, Ulaya, Asia hatimaye Amerika.Wakati walipohama nature iliwapunguzia melanin ili waweze kuadapt kwenye mazingira yenye baridi kali.
Vile vile walizaliana na jamii nyingine yenye kufanana na Homo sapiens iliyoitwa Homo neanderthal[ilipotea miaka 30k iliyopita].Watu wote duniani isipokuwa sisi waafrika weusi wamebeba vinasaba vya hiyo species nyingine ya sub-human.

Baada ya Jangwa la Sahara kutokea waafrika walitengwa na watu wengine ilihali wazungu kutokana na hali ya hewa pamoja na eneo la kijografia, walikuwa na head start nzuri ya kuendelea kiuchumi, siasa na kijamii.
Maendeleo ya kisayansi waliyonayo wazungu kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na mafanikio yao kiuchumi.
 
Back
Top Bottom