Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa.....Kwanza ni sababu ya kuzuia nguo isipauke saaana sababu ya jua, pili kufanya nguo isichafuke wakati wa vumbi
Inageuzwa muda wa kuanika..!Amani iwe kwenu.
Kama nilivyo anza na kichwa cha habari.... mwenye ujuzi ama ufahamu wa kwanini nguo ugeuzwa ndani nje wakati wa kuanika baada ya kufuliwa?
Nawakilisha
kama ni kupauka, kwani nguo inapo pigwa pass haichangii kupauka?Kwanza ni sababu ya kuzuia nguo isipauke saaana sababu ya jua, pili kufanya nguo isichafuke wakati wa vumbi
Isipauke rangiAmani iwe kwenu.
Kama nilivyo anza na kichwa cha habari.... mwenye ujuzi ama ufahamu wa kwanini nguo ugeuzwa ndani nje wakati wa kuanika baada ya kufuliwa?
Nawakilisha
Sababu ni hizo hizo hata wakati wa kupasi unashauriwa iwe imegeuzwa piakama ni kupauka, kwani nguo inapo pigwa pass haichangii kupauka?
na kama ni kuzuwia uchafu/vumbi, kwanini hata tukitumia machine ya kufua na kukausha bado tunageuza?
Lakini si hata kwa ndani pia inachafuka maana kwa ndani ndo baadae hugusa mwili hivyo ingeuwa vyema kama ingeanikwa bila kugeuzwa ili uchafu ubaki kwa njeKwanza ni sababu ya kuzuia nguo isipauke saaana sababu ya jua, pili kufanya nguo isichafuke wakati wa vumbi
Lakini si hata kwa ndani pia inachafuka maana kwa ndani ndo baadae hugusa mwili hivyo ingeuwa vyema kama ingeanikwa bila kugeuzwa ili uchafu ubaki kwa nje...nimependa hiyo ya mazoeaVumbi inaweza ikawa sababu pia ila swala la mazoea tu
Nimekubali sababu zako zote ulizotoa pamoja na kwamba mie mwenyewe nimelelewa kimazoea kugeuza nguoKwanza wakati wa ufuaji lazima ufue kwa ndani..kwa mfano..kwenye pindo za miguu ya surual, pindo za mashati, skirt/magaun..n.k. kwasababu maeneo hayo hushafuka zaidi adha kutokana na mafuta yanayopakwa mwilini, vumbi..jasho..n.k. general sehemu za ndan ndio hushafuka zaid..nje ni vumbi tu. Hupaswi kugeuza wakat wa kuanika bali wakat wa kufua.