Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ambalo hilo vumbi baadae unakuja kulivaa kwenye mwili tofauti na yule asiegeuza ambae akija kuvaa vumbi linabaki kwa njeHiyo ni kufua kwa kiswahili lakini ukitumia washing mashine....vyovyote vile hata usipogeuza haina shida...na huwa unaigeuza sababu ya vumbi tu....wakati wa kuanika