Kwanini nguo inageuzwa wakati wa kufuliwa?

Hiyo ni kufua kwa kiswahili lakini ukitumia washing mashine....vyovyote vile hata usipogeuza haina shida...na huwa unaigeuza sababu ya vumbi tu....wakati wa kuanika
Ambalo hilo vumbi baadae unakuja kulivaa kwenye mwili tofauti na yule asiegeuza ambae akija kuvaa vumbi linabaki kwa nje
 
Ambalo hilo vumbi baadae unakuja kulivaa kwenye mwili tofauti na yule asiegeuza ambae akija kuvaa vumbi linabaki kwa nje
Vp kuhusu ukurutu unao natia kwenye nguo kwa upande wa ndani?
 
Kwanza ni sababu ya kuzuia nguo isipauke saaana sababu ya jua, pili kufanya nguo isichafuke wakati wa vumbi
Haya mambo nilijifunza dalasa la 3,4 hivi siku hizi hakuna somo la sayansi kimu
 
Samahani sana mkuu....[emoji120]
Ebu naomba unisamehe sana kwa makosa ya kiuandishi.
Wewe ni kati ya wachache ninao waheahimu sana aiseeeee
Usijali nilihisi kama nimeandika vibaya ...kuwa na amani mkuu..enyoy your saturday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…