Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Sema nini huyo mnyma ni msumbufu mwanzo mwisho labda kuwe na cha kutafuna karibu ili awe mtulivu bila hivyo ni patashika
 
Nguruwe wanauzwa minadani kama kawaida. Ulishawahi kufika Chunya? Tembea uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…