Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Hekaya za Yericko
Ni sahihi kila mwenye akili kusema na kiwaza kwamba wewe ni miongoni mwawanufaika na hali iliyopo ambapo CHADEMA inafungamana na CCM huku nchi ikibaki katika giza tororo na mkwamo kila sekta
 
STOP! Punguza ghadhabu. Mimi mwenyewe ameniudhi. Lakini tujitahidi tuwe watulivu. Yeriko anajua amelikoroga sasa anasoma comment....
 
Mkuu
Hawa jamaa wanaopita mitandaoni kufanya spinning na kumdemote Lisu wapo kwenye payrol ya Abdul
 
Hebu acha utoto wako huo, au unadhani unao chat nao hapa ni watoto wenzako?
Huo ndiyo ulikua msimamo wa Chama au ni utunzi wako wa story?
Kwa hiyo watanzania wanawaamini na kuamua kuwa serious kiasi kilichopelekea watawala kukata watu majina na kuvuruga uchaguzi kwa kuamua kujitangaza kuwa wameshinda baada ya kuona wananchi wamewamwaga, halafu leo nyie mnasema hamkua na nia ya kushinda? Hivi unajisikiliza kweli kuna watu wamepoteza mali na maisha kupitia ule uchaguzi. Kuna watu waliteswa na kufungwa hala unaleta utoto wako hapa eti hamkutaka kushinda na mlijua hamtashinda?
 
Hicho CHAMA ni Mbowe, na uko wake, lisu ni vzr uanzishe CHAMA chako
 
Hawa watu wapumbavu sana. Kwa aina hii ya watu wanadhani wanamchafua Lissu, kumbe wanamvua suruali Mbowe na kuipasua CHADEMA.
Mwingine anadai walimpa Lissu agombee sababu walijua hawatashinda, hivyo asingekuwa rais.
Hawapimi madhara ya kauli zao. Watu wamepoteza mali na maisha kwenye ule uchaguzi, watu wamedharirishwa, watuwameteswa na kufungwa halafu wanakuja watu wanadai waliweka mtu asiye na uwezo sababu walijua hashindi
 
Muda ni ukuta, hata kama unampenda vipi, huu ni muda wa kupumzika awapishe wengine.
Kwani ikitokea amekufa kwa sababu naye ni binadamu itakuwaje?
Yupo hai sasa, Lissu akifa yeye je
 
Asante
Nilikuwa sielewi kwamba uenyekiti wa chadema ni bora zaidi na nyeti kuliko Urais.
 
yericko umezngua bana,ww kama influential figure ndani ya chama chenu ungepiga kimya,muda wa kura upo,unaemchafua Jamii inamjua,this time u act as a puppet of incumbent chairman
 
yericko umezngua bana,ww kama influential figure ndani ya chama chenu ungepiga kimya,muda wa kura upo,unaemchafua Jamii inamjua,this time u act as a puppet of incumbent chairman
100%
 
PAmoja na sifa zote hizo anapaswa apumzike sasa awapishe wengine waendelee alipoishia yeye.
 
Kwamba mbowe kutoa hela zake Kwa chama ni Hadi awe mwenyekiti, ikitokea akafa Leo usiku chadema itafutika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…