Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Una nzi kichwani ama kamasi,,,mbowe anatumia chama kujinufaisha kvp ? Huyo si mwenzio ana nyumba za biashara France na Dubai! Mali ya mzee wake (aikael) ipo na ameiendeleza vizuri ,,,,usivyovijua uulize ! Pumbaff
 
Uzuri moyo wako unajua fika kuwa unaunga mkono Umachame wenu na sio hatma ya CDM🤣🤣
Haya maneno si mageni mjini,yapo kitambo saana,Tafuta mapya 🤓
 
Sikutegemea kama una mawazo mgando kiasi hiki.
 
Unajifungia chumbani kisha unaandika ujinga km huu huyu ni ndiye ayejiita mwandishi bora wa Africa..
 
Mimi nilishasema kuhusu Lissu nikapuuzwa. Nakupongeza sana Yericko Nyerere kwa kujitokeza na kumshambulia huyu adui wa demokrasia na kirusi ndani ya CHADEMA. WanaCCM tupo tayari kushirikiana na Mbowe kwenye ujenzi wa CHADEMA. Kamati kuu imchukulie hatua kali za kinidhamu Tundu Lissu.
 
Kati ya kitu nyie wafuasi wa chadema mnakosea nikupeleka mitazamo yenu yakichama mitandaoni.Hizi ni akili zakitoto sana.labda kama lengo lenu nikuvuruga.mnashindwa nini kusubiri mkasikiliza sera za wagombea ili mkawapima kwa sera zao badala yakuleta hoja mitandaoni kuwagawanya kwa sifa ambazo hazilingani.kwa akili zenu ndogo mnafikiri mnakisadia chama ila mnakiharibu.badilikeni.
 
Kuwa makini. Wanaotamani Mbowe awe tena mwenyekiti kwa awamu hii ni makada wa CCM tofauti kabisa na mihula iliyopita? Unajua kwanini? Halafu lingine Mbowe ana jipya gani la zaidi kuvutia haiba ya kizazi kipya kujiunga na Chadema? Nyie wapambe wa Mbowe ni hakika mnafaidika kimaslahi akiendelea kuwepo ila kwa kweli this time anahitajika mtu mpya mwenye msimamo mkali kuendena na aina ya siasa zilivyo nchini kwa sasa.
 
Fisiem watafanya kila figisu Lissu asizame umwenyekiti
 
Wewe ni chawa wa mwenyekiti. Mwache Lissu atumie haki yake. Maneno mengi lakini umeegemea upande mmoja.
 
Kama kuna mtu anatumiwa na dola basi ni wewe!

Safari hii ni either CDM kiwe chama cha kweli cha upinzani au wapinzani wawaachie tawi lenu la CCM. Ukweli unakweda kudhihirika.
Kabisa mkuu. Mbowe akiendelea na uenyekiti wake tunawaachia lichama lao tunatafuta mapinduzi ya kweli ya upinzani. Hawa machawa wa Mbowe hawajui ni jinsi gani tumegharamika this time na hizi siasa za maccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…