Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Hoja ni nzito,Lissu ndani hakitakii mema chama chake
 
Maccm wote mnamgwaya Lissu, ghafla wote mumekuwa upande wa Mbowe.
 
Kwa sasa kwa kutumia siasa kamwe hauwezi kupata katiba mpya wala tume huru sijui hicho chama kitaenda wapi sasa. Mbowe ni mwanasiasa aliyezidisha siasa anatabirika na anaendesha sana chama kisiasa kwa mazingira ya sasa hafai
 

Nimesoma kipande kidogo sana, naona sifa nyingi ni kwa mbowe tu, je! Wewe ni mwanakaskazini sio? Je! Wewe ni familia ya mbowe?

Mh lissu ondoka hilo lichama, halikufai, lina wenyewe hilo,,, (udini, ukabila, ukanda na utaifa) unda chama chako, au nenda ccm au act.
 
Andiko refu lakini la kipumbavu kuliko yote hapa JF kwa mwaka huu 2024. Ni upumbavu wa hali ya juu kuamini kuwa chadema yote mwenye akili ya kuwa mwenyekiti ni Dj. Yeriko nimekudharau sana hata propaganda huzijui
 
Sitaki kumvinjia heshma Mwkt Mbowe ila ninachokiona mimi kunahitajika mbinu mpya za mapambano ya CCM ukilinganisha kuwa bado CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani kilichopo. Nimefuatilia kwa umakini mkubwa sarakasi za kijinga na kizembe zilizokuwa zinaendelea ktk uandikishaji wa daftari la wapiga kura. Ni uhuni wa waziwazi ambao viongozi imara wa upinzani wasingetakiwa kulalamika kama ss ila wangetakiwa kuchukua hatua za haraka kulikataa zoezi lile. Acha uandikishaji, njoo kwenye hizo kura zenyewe zilizopigwa, ni haramu kila pahali, sikutegemea kuona viongozi imara waje kulalamika kama sisi.
Ni wazi sasa kunahitajika mbinu mpya za kulazimisha mabadiliko na sio kubembelezana tena. Lisu apewe nafasi tuuone uwezo wake maana wa Mbowe tumeshauona ktkt kipindi cha kutosha sasa.
 
Watu wanasema CCM kuna machawa haya angalieni CHADEMA sasa.


Sio kosa lakini kwa watu aina ya Yericko ni kosa kufanya Jambo hilohilo wanalolifanya.
Kosa lipi nawakati chadema wamempa fomu ya kugombea uenyekiti wamenyima kwani
Kwamba ulitaka lisu asipingwe mbona haya maajabu unajua maana ya demokrasia
 
Hahaha sijasoma andiko lote, lakini nakuhakikishia mkitaka chadema iende TLP, SAU nk mdanganyeni mbowe agombee Tena uwenyekiti wa chadema, miaka 20 Bado unagombea uongozi umemsahau nn? Mtaani wanauliza mbowe ndani ya miaka 20 ana nn kipya? Kina yeriko lengo lenu linafahamika, safari hii koseeni hakuna atakayewahangaikia mwakani
 
Kuna vitu vitatu vikubwa kwenye hii mada.

1. Wapinzani wa CHADEMA wameamua rasmi kuwagombanisha Lissu na Mbowe kwa kutumia watu wao ndani ya CHADEMA
2. CHADEMA wameamua kupima upepo kwa umma endapo watu hao wawili wakitifuana nini utakuwa mtazamo wa umma kuhusu maamuzi ya CHADEMA ya nani anafaa kuwa mwenyekiti
3.Mwandishi kaamua ‘kujifurahisha’ kwa kuchokoza umma.

Hayo mawili ya kwanza yana maana zaidi.
 
Mkuu huyu Yuko humu kumnadi mgombea wake wa maisha pale ufipa, hakuna kipya.Hawa inabidi wapewe elimu ya demokrasia ya kweli si Ile ya kukariri
 
Haahaa, haohao ndo wa kwanza kuwaponda kina mseven na kagame kwa kukaa madarakani muda mrefu, unafiki mtupu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…