Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Kugombea Urais kuongoza watu 60m, sawa anafaa. Ila kugombea uenyekiti kuongoza watu wachache, ana nia ovu hafai. Pumbavu kabisa hili jamaa.
Hawa ndio wale wachawa wanaotaka Mbowe aendelee kwa faida ya matumbo yao
Kiujumla hakuna maslahi ya chadema pale kwa hoja zao, ni matumbo Yao tu
 
Ccm wakiendelea kutawala wanaumia watanzania wote
Mfano Kimara week ya pili hii hakuna maji huu msoto wanapitia watu wote chadema na ccm
Lakini Bora zimwi likujualo halikuli likakwisha, hao walipiga kelele tetesi za magu kuongezewa muda, wenyewe wanapigia chapuo kiongozi aliyekaa miaka 20 kuendelea kubaki madarakani, unafiki mtupu
 
Struggled to go through it all. But learned a lot from the bit and pieces I managed to grasp. Bado tutasikia mengi.
 
We kijana ni mpumbavu sana, kwahiyo Mbowe ni Mwenyekiti wa MILELE huko CDM? Kwa bandiko hili niwazi chadema siyo chama cha siasa, bali ni SACCOS tu ambayo inanufaika na mfumo wa utawala uliopo nchini.

Ni mpuuzi pekee ndiye anayeweza kuamini hii SACCOS ya Mbowe ipo kwaajili ya kuitoa CCM madarakani. Uamuzi wa Tundu Lissu kutaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti UMETUFUMBUA MACHO, HAKUNA CHAMA CHA SIASA HAPO.
 
Mbowe katika mwisho Hana jipya...
 
Haahaa Kwa maoni yangu serikali ipeleke mswada bungeni kupitia Sheria ya vyama vya siasa ni marufuku viongozi wa vyama vya siasa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.Udikteta una sura nyingi sana
 
Kabisa, uamuzi wa Lissu umetufumbua macho.
 
Bahati nzuri tulimshauri humu alivyoingia kwenye maridhiano ya kitapeli na majizi ya CCM hakusikia hadi mwaka huu alipokamatwa ndio kukiri bora angewasikiliza kina Lissu waliomtahadharisha asiingie kwenye utapeli na kibibi cha Unguja.
Haahaa mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti wa chadema mwakani Samia ataamua ushindi wa kupata.Pesa alizopewa mbowe kumpa askofu mil 150 zinamtesa mbowe
 
Haahaa Kwa maoni yangu serikali ipeleke mswada bungeni kupitia Sheria ya vyama vya siasa ni marufuku viongozi wa vyama vya siasa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.Udikteta una sura nyingi sana
Serikali ya CCM ni mnufaika wa huo mfumo wa KUTOKUWEPO UKOMO WA MADARAKA ili vibaraka wao waendelee kuwepo siku zote. Hawawezi kuthubutu KUFUTA.
 
mbowe afanye kumpisha lisu
 
Nje ya lissu kwa chadema ni majanga, mbowe katika mwisho
 
Lissu ametusaidia kujua kwamba CDM sio chama cha siasa, ni SACCOS ya Mbowe na wanafamilia wake hawa akina Yericko na wengineo.
 
Huyu ana kazi maalumu ya kutukuza mzee wa miaka 20 ya kukomaa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…