Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Mnafiki ana sura nyingi
 
Tanzania hakuna UPINZANI WA KWELI, vyama vyote ni MARAFIKI WA CCM vipo kwaajili ya KUPUMBAZA wenye nia thabiti ya kutaka mabadiliko. Uamuzi wa Tundu Lissu umetufumbua macho.
 
Hapa kuna dalili ya kuzaliwa chama kipya cha siasa ambacho kitakuwa mbadala wa CHADEMA,Alipo lissu nami nipo💪💪
Chadema uchaguzi huu utawaanika Sana, tutafuatilia Kila hatua, wajumbe wakisombwa tupo, ule uhuni uliofanyika Arusha hatutaki
 
Lissu anafaa 💯
Hii ndio demokrasia

Uongozi kwenye vyama uwe na kikomo ndio demokrasia.

Huu upupu umeandika hapa inaonyesha safari ya kuwakomboa WaTz ni ndefu

Mlimwamini Lissu kuwa presidential candidate hamkuona haya mapungufu? Mnajicontradict wenyewe.

Mvuto wa upigaji kura umezorota kwa sababu kama hizi za kis&$$e. Wananchi wanekata tamaa wanaona hakuna wakuwaletea tumaini. Kwa mtindo huu sisiem wataongoza mpaka masihi arudi!

Mnachotete ni matumbo yenu sio wananchi wa Tz.

Lissu akianzisha chama aminini mtajutia hizi propaganda zenu.

It’s time Mbowe mnyika mrema kuwapa nafasi wengine waongoze.
Charity begins at home!

Mbowe ameshindwa kulivusha Taifa kufika nchi ya ahadi.

Punguza kucheza mchezo mchafu wa ndumilakuwili.
 
Mmeanza kuumbuana sasa 😂😂 kwamba kumbe Lisu ni kilaza.

Na wanachama mnaamini hakuna kiongozi mwingine zaidi ya Mbowe.

Dah 😂
 
Serikali ya CCM ni mnufaika wa huo mfumo wa KUTOKUWEPO UKOMO WA MADARAKA ili vibaraka wao waendelee kuwepo siku zote. Hawawezi kuthubutu KUFUTA.
..mmeshindwa kusimama serikali ilete katiba mpya, unaongea upumbavu tu, hao wanachama wa sifa za kuwa viongozi vyama vya upinzani wewe unaona wapo? Kila leo wanahongwa vyeo na serikali hiyo hiyo unayodhani haijui udhaifu wa vyama vya upinzani wanapobadilisha uongozi.
 
Mkuu, pamoja na mawazo yako mengi, lakini yana kosa nguvu kutokana na shughuli iliyopo ya uchaguzi ndani ya chama na hasa kwa ngazi hii ya MWENYEKITI, na ikizingatiwa kuwa wanao zungumzwa ni viongozi wakuu wa chama na wote wame wahi kugombea nafasi ya URAIS wa Nchi, hivyo wana uwezo wa kugombea nafasi yeyote ndani ya Chama. Haya mengine ni UCHAWA na UKUPE tu.
 
Machawa Wako Kila mahali, vyama vya siasa, idara za serikali, mashirika ya umma nk.Tusipokomesha machawa tumekwisha kama taifa
..hata mjinga hahitaji kuambiwa hizo kelele mnazofanya zimejaa hila kwa chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…