Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Mh Mbowe kasema hataki chawa, unahangaika nini sasa
 
Sasa ndio mnaonesha rangi zetu halisi.

Huyu Lissu dhaifu uliemuelezea hapa ndie ambae mlitaka awe Raisi wa Tanzania yaani aongoze watu zaidi ya 60milioni.

Kumbe nyinyie wenyewe mnajua ni dhaifu asiejua majukumu yake yakiuongozi na hana pesa ni ombe omba.

Ninachoshukuru umefanikiwa kukivua nguo chama chako huku ukidhani umemdharirisha Lissu.

Kwa ukongwe wako haukustahili kumuattack Lissu kwa namna hii ili umfurahishe Mbowe.

Magufuli kuna mambo alikuwa sawa sana pale alipokuwa akisema wapinzani ni waongo waongo sana.

Sasa naamini kwa asilimia kubwa sanaa.

Kaka kama unaweza omba uongozi wa JF wafute hili andiko litakudharirisha zaidi ya unavyodhani.
 
KUANZIA SASA HIVI NAANZA KUFANYA SHUGHULI ZA CHAMA CHANGU CHA CCM KWA JUHUDI NA NGUVU ZOTE KABISA.

NA HATA HUMU JUKWAANI NAPENDA NITAMBULIKE KUWA MIMI NI MWANACCM ILA SITAUNGA MKONO KILA KITU HATA KAMA SIO KIZURI KWA NCHI YANGU.
 

Watanzania wenzangu,

Mara kadhaa humu JF nimedokeza kuwa chama pekee cha Sasa hapa nchini ni CCM pekee. Mjadala wa madhaifu ama uimara wa CCM kwa ustawi wa nchi yetu ni mjadala tofauti.

Bandiko hili la Yericko Nyerere ni ushahidi wa ziada kuwa toka mfumo wa vyama vingi urejee hapa nchini mwaka 1992, CCM imeendelea kuthibitisha kuwa haina mbadala.

c.c Allen Kilewella
 
Yericko Nyerere Tuonyeshe Kabuli la Chama Chochote Cha Siasa Tanzania kilichokufa na Sisi Tukuonyeshe Chama Chenye Mbunge Mmoja wa Jimbo Kutoka Wabunge 46 wa Majimbo! Hicho Chama Cha siasa Chenye Mbunge mmoja Kimekufa au hakijafa?
 
..mjinga punguani ndiye ataelewa ulivyoelewa wewe, wenye akili sawa sawa wanafahamu si kila uchaguzi lengo ni kushinda, inaweza kuwa lengo ni kukijenga chama..na mpumbavu anadhani vyama vina fikiri kwa niaba yake, ndio maana analaumu chama kuleta mgombea wa aina hii!
 
Yericko mmemfanya nini Wenje kama chama ambaye umekiri alipeleka Abdul kwa Lissu ?

Mbona hakuna hatua zozote amechukuliwa ?

Hoja zako nyingine ni butu ila hapo kwa wenje unakiri chama kina watu wanaotumia hela ya Abdul ni viongozi na hakuna hatua zimechukuliwa
 
Umeandika pumba kwa kujiamini sana.

All in all nikuambie sipo hapa kubishana na watu wenye akili ndogo kama wewe.

Kwenye andiko langu ulilojibu umeona nimemtukana mtu hapo au nimeandika tusi lolote.

Akili ndogo huona matusi ndio njia sahihi ya mabishano.

Hongera kwa kuonesha uwezo mdogo wa akili yako mbele ya wanaJF.

Nakupa ushindi umeshinda kiongozi.
 
..fahamu kuanzia leo ccm ni kundi la watu linaongozwa kwa mfumo wa cartel..hakuna chama cha siasa hapo.
 
..fanya homework yako vzr, usilishwe lishwe tu maneno km kinda la ndege.
 
Wewe uliamini kabisa kuwa hatashinda?
 
Wamefeli kivipi mkuu?? Lengo la chama cha siasa si ni kushika dola?
 
Mwaka huu tunagawana mbao wapuuzi nyie. Mmezoea Cha Bure vya FAM.
 
Umeandika andiko refu lakini hakuna pointi za msingi zaidi yakuonesha upambe wako kwa FAM na hii ni moja ya changamoto ambayo TAL ameeleza kuondoa machawa, jebu jikiteni kujibu yale aliyoyasema Lisu haya maelezo yenu yanamchafua Chairman vibaya kabisa mnasimama kwenye lile kundi linalotaka FAM aendelee ili mambo yenu na nyie yaendelee mnaonesha upambe dhidi ya mtu hamkisaidii chama mmekua tofauti yenu na kina Suphiana na huyu Mwashamba ni majina ya vyama tu lakini kazi zenu ni zile zile mmejivua nguo nakujifedheesha na TAL alikijua hili ndio mana ame wa expose ili kukisaidia chama kwa hizo akili zenu mnadhani mnawezaje kushika dola mana mtaenda kua kama kina DAB hakuna any substantial value mnayoweza ku add kama mnashindwa kuheshimu demokrasia ya chama chenu mtaweza kudai hata katiba kweli nyie uhalali mnatoa wapi? Watu wa hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…