Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Hiki chama nacho ni cha wachumia tumbo tu kama ccm. Hawana la maana no more.
 
Hakuna mwenye akili hata mmoja atakubali ujinga huu wa chawa wa Mwenyekiti wa kudumu miaka zaidi ya 20 eti hakuna anayefaa na bado mnataka tuendelee kuwaamini mnashindwa ht na ACT ZItto kaachia madaraka nyie walaaaa mnataka hd mwenyekiti afie madarakani km Mrema
 
CHADEMA ni mradi binafsi wa Mboiwe, hawa kina Yericko ni wale wale 'chawa'. Wanapenda sana kutumia hilo neno la kudhalilisha lakini wanachokifanya kwa Mbowe ni uchawa ule ule unaofanywa na wakuu wa wilaya na mikoa kwa upande wa serikali ya CCM.
 
Ni mradi wa watu fulani wachache na hapo huwezi kukwepa kuuona ubinafsi na ukabila wa kudumu ndani ya CHADEMA.
 
Duh!
Umemaliza mkuu! Yericko ni muda mwingi tu anaonekana kutumikia CCM, inahitaji umakini sana kumtambua. Na inaonekana pia anaitumikia idara ya usalama wa taifa ambayo for so long imekuwa ikituhumiwa kuacha majukumu yake ya asili ya kuanzishwa kwake na kuanza kuitumikia CCM. Yericko anavikwa umuhimu fake ndani ya Chadema, huyu jamaa ni sumu tena sumu mbaya sana ndani ya Chadema. Yupo makini sana katika maandishi yake katika namna ya kujifanya haiumizi Chadema na kwamba anaitetea but meanwhile he is killing the party.

Huyu Yericko simuweki kwenye kundi la machawa, machawa ni akina Boni yai, Martin Maranja na wenzao. Huyu Yericko yeye anatumikia mabwana wengine ambao ni hatari zaidi, ni hao mabwana ambao wanaona Chadema chini ya Lissu itakuwa Chadema ngumu sana kudili nayo na ndiyo hao Yericko anawatumikia.

Zipo hoja nyingi mno lakini ya msingi ni hii, ni huyu Yericko anaejiona yupo smart kushindwa kuhoji swala la msingi la kwanini Chama kilimuamini Lissu kugombea urais mwaka 2020 kuwatumikia watanzania zaidi ya milioni 60 lakini chadema hiyohiyo isiwe na uwezo wa kumuamini Lissu kuongoza Chadema ambayo ni taasisi yenye wanachama chini ya milioni 30 haileti mantiki kabisa, lakini utapata jibu moja tu kuwa system imepata shock na paralysis baada ya kuona Lissu anautaka uwenyekiti katika taasisi ambayo ipo imara na imadhamiria kuiangusha CCM kwenye madaraka.
 
Kama hafai kugombea urais waliona anafaa? Unataka kutuaminisha kuendesha nchi inahitaji mtu dhaifu na kuendesha chama inahitaji mtu imara kama mbowe? Je wanaweza kutomba radhi eatanzania kwa kumdimamisha lisu?
Soma sentensi ya mwisho hapo juu
 
Tanzania hakuna upinzani wa kweli….mshalambishwa asali…he who feeds you controls you
 
Mbowe ni mfanyabiashara makini hawezi poteza pesa zake kizembe. Hela zote alizokopesha CHADEMA anajilipa kupitia ruzuku.
 
Barani Afrika mkiondoa ukomo wa uongozi mjiandae na siasa za Kisultani.
Wanachadema waliomsaidia Mbowe kuondoa ukomo wa uongozi ndiyo wanaopaswa kulaumiwa.
 

Mtu mzima akiamua kuwa chawa utategemea kipi cha maana kutoka kwake
 
Sasa mimi nataka kutoa msimamo wangu,
1. Mbowe na lissu bado siasa zetu zinawahitaji wote, swala la pesa lissu mfano akiwa mwenyekiti sio kwamba chama kipo mfukoni mwake as a team lazima kushirikiana naye ,iwe nikutafuta pesa n.k madhalani Mbowe amekua akikikopesha chama ,na chama humrejeshea pesa yake ,so asipokua mwenyekiti hataweza kukikopesha chama tena? Mbowe anafaa na Lissu anafaa ,sasa nini kifanyike

2. John Heche achukue form mara moja ya uwenyekiti wa chama ,Mbowe na lissu wote wpigwe chini , hatutaki masiala kwenye chama ,au kama vipi Mbowe awe mwenyekiti , lissu awe katibu mkuu , Mnyika awe Makam mwenyekiti bara.

Mwisho

Mbowe na lissu kama hamtaki sikiliza nyote mfutwe uanachama mkae pembeni maisha yaendelee
 
JE ! NI WAKATI WA KUFA KWA CHADEMA KAMA VYAMA VINGINE VYA KISIASA DUNIANI ?

Ili lisimame chaguo la uhai Chadema kwa sasa; ni bora #Mbowe mara maelfu nyingi, kuliko #Lissu mara maelfu elfu nyingi; kwani hawa tofauti yao ya kuongoza taasisi kubwa ni kama mashariki na magharibi kwa siasa za Tanzania yetu; ambazo hazipendelei siasa za uharakati na kuonyesha dalili za kuondoa amani yao watanganyika !

Kwa wanachama hai na wajumbe wa mkutano mkuu, mnaoenda kupiga kura; ni muhimu kufahamu kwamba uchaguzi huu unaweza kuua au kuwa kinyume chake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo; katika mchakato wa kuandika historia mpya ya CHADEMA.

Wadau wa siasa kama Yericko Nyerere mnafahamu kwamba "vita vya pazi ni furaha ya maadui zao" ! Hatuachi kula mtori, tukiamini tutazikuta nyama chini ya bakuli.
 

Attachments

  • images.jpeg
    52.2 KB · Views: 2
Kiukweli kupitia andiko hili la Ndg Yericko nimejifunza mengi lakini niseme tu Alama za nyakati zimeshamgomea Mbowe kufurukuta mbele ya Lissu Mtu katangaza Nia hata wiki haijaisha angalia povu linavyowatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…