Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Nilitaka kuuliza kama mwandishi amewahi kutekwa maishani mwake.
 
Vuaneni nguo tu, mda si mrefu mtayasema yote mliyomsingizia mwenda zake. Kwahiyo ghafla huyu huyu mliyekuwa mnataka awe Rais, hata uwenyekiti wa chama hafai. Kwahiyo 2020 mlitaka kuwatapeli watanzania. Kwahiyo unadhirisha kuwa watanzania si wajinga kama mnavyowabagaza kila siku, maana walimkataal Lissu kama wana CDM mnavyomkata sasa Kichwa kimewaka moto aise😂😂😂😂😂. Ukweli ambao hausemwi ni kwamba Nchi hik hakuna vyama vyingi. Vyama vyote hivi ni mikono ya kushoto ya CCM. Mnachogombania ni nani alambe zaidi ya mwenzake
 
Uch
Uchaguzi ni lini mkuu
 
Kumbe shida bado ni ya chadema yenyewe

Kama alikuwa hatimizi majukumu yake kikatiba mliwezaje kumuongeza vyeo vipya sio kwamba tatizo sio la Lissu ni la kwenu ?

Siasa bwana watu waongo ueleweka haraka watu wakweli upata ugumu wa kueleweka ndio siasa ya Tanzania hiyo!!

Hivi mfano mbowe akifa leo chadema hakuna mtu wa kuwa mwenyekiti?

Lissu Hana sifa je wanachana wote hawana sifa?

Tuhuma hizi kwanini mzilete baada ya kutangaza kugombea?

Yeriko wewe ni mavi
 
Lissu hata kwao hajajenga, anafikia gesti, sasa huyu ndio ajenge chama au nchi?
 
Yani umeweka wazi upumbavu wako
 

Mada ndeeefu ila imekaa kichawa na kihisia zaidi hamna content tofauti na tulizoona tangu juzi za kina tlaatlah, tunaamini ni feelings zako tu na wala sio standard wala msimamo wa chama au kamati yyt zaidi ya kichwa chako. Leteni substance mpya basi acha kurudiarudia yaleyale ya uvccm
 
..ujinga una gharama kubwa! itakuwa bora zaidi mkaanzisha hicho chama kipya, pasi kusubiri uchaguzi tofauti na hivyo bora kubaki na msaliti Yeriko kuliko nyinyi..
 
Mimi naelewa ww ni chawa na unaiwqkilisha ccm lengo lenu mboŵe atawale milele
 
Mlimpelekea pesa Lissu asigombee kupitia Abdul sasa mnawaandaa kisaikolojia watu wenu if ikitokea Lissu atamwaga ushahidi. Abdul mnamtukana mitandaoni nyuma ya pazia mnakutana nae mnajadili kupokea pesa zake. Mbowe na chadema wanaowaamini lazima wana mtindio wa ubongo.
 

Maajabu!
 
Ukiniuliza Mbowe na Lissu nani anatumika na CCM, nikuulize Mbowe alisema atamfikisha Peter Msigwa mahakamani ndani ya siku tano iwapo asipomlipa bilioni 5 na kumuomba radhi. Huu sasa ni mwezi wa tano, Msigwa anatia spana tu. Upande wa Mbowe zzzzzzzzz!!!

Mfyuu, tunamtaka Lissu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…