Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

'La kuvunda halina ubani' ndugu.
Kama mtu kachafuka, wewe hauwezi kumuosha kwa njia hii ya uchawa.

Unaandika gazeti kumnadi Mbowe badala ya kujinadi mwenyewe kugombea uenyekiti watu tukuunge mkono?

Kung'ang'ania madarakani tena madaraka ya umma ni udikteta ujue.

Mbowe katumikia madaraka hayo kwa kipindi kirefu sana anastahili kupumzika ili kupisha wengine waendeleze kukimbiza kijiti.

Umeandika 'riwaya' yako ya kumnadi Mbowe utadhani binadamu hazeeki na kufa!

Chukulia kama hilo limetokea, hauna mawazo mbadala wa kuchagua kiongozi mwingine wewe?

Wewe binafsi kama ulishanufaika na Mbowe binafsi, mchukulie fomu kama ulivyodai na umpigie kura, lakini wacha kuwapaka matope watu wengine wenye nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti.
 
A
Ajabu na kweli "kula nyama Ya mtu ni uraibu pia"
 
Mbowe janja janja tuu, Lissu ni mpinzani wa kweli na mwenye msimamo thabiti usioyumbishwa!!.
Ma ccm yenyewe yanamhara!.
..nyinyi ni zao la uharibifu wa fikra na uwezo wa kufikiri ambao ccm imefanya kwa vijana wengi wa taifa hili..ukisoma mnachoandika you see ignorance to its highest level!
 
Unaandika upuuzi mwingi kwa kireefu sana.
Ulitakiwa ujielekeze kwenye kujibu ni kwanini mtu huyo mwenye tuhuma hizo lukuki zikiwemo za uongo na kushindwa kukijenga Chama Kwanini mlimpa nafasi ya umakamu wa mwenyekiti taifa?
Kwanini mtu huyo mkamteua kugombea nafasi ya urais?
Kwa hiyo kwenu nchi is nothing? Kwamba mkipewa nchi hamtafanya tofauti na CCM?
 
Chadema unageuka kuwa msaliti pale ukitaka kugombea wenyekiti. Hapo basi unakuwa mslaiti umetumwa
 
Mimi Yericko Yohanesy Nyerere, Nitamchagua Freeman Aikael Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa!
Yericko Nyerere, sasa unahofu gani Mbowe kupambana na Lissu? Si hiyo ndiyo demokrasia tunayoililia?

Au unataka hiyo kura yako moja ndiyo itambuliwe...kwani kuna mtu kakwambia kura hiyo yako haitahesabika?
 
..hata asiye weza kufikiri kwa kina akisoma mistari 5 uliyoandika ataelewa uwezo wa akili yako na kile umelishwa useme!
 
Moja kati ya wapumbavu wa demokrasia ni wewe. Miaka 20 bado anang'ang'ania?
 
Mbowe anataka First lady atoke uchagani 🐼
 
Yaani nawewe unasema maridhiano yakikua na faida,ilhali akina George Sanga hadi sasa wako ndani,na kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mlikatwa kutoka asilimia 98 ya wagombea mliowasimamisha hadi asilimia 34,bado unaona ni mafanikio?
Lissu alitaka hadi kuuawa kwasababu ya misimamo yake,leo eti unambeza wewe ambaye uko vuguvugu na hata sijawahi kukuona ukiwa front kwenye maandamano zaidi ya kupiga porojo mitandaoni.
Wewe itakua ni mmoja wa watu wanaotumika,unajishuhia kredit sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…