Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Ukitaka ku drain yote unafanyajeMkuu, Ninachokifahamu ni kwamba unapomwaka ATF kwa kufungua tu ile bolt ya chini kule kwenye Oil pan kitakacho toka pale huwa ni 60% tu ya ATF yote. Kuna ATF ambayo huwa inabaki kwenye Oil pan, Valve Body na Torque converter...