watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Wasabato ni cult siyo dhehebu la dini. Uliona wapi watu wanasali Jumamosi?Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.
Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?
Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
Kila mtu akiwa dini flani huziona dini nyingine ni cult, waroma tunawashangaa kubusu na kupigia magoti masanamu, walokole tunawashangaa wachungaji kuigiza miujiza na kutajirika kwa sadaka, walitheran tunawashangaa kuruhusu wanawake kusalisha, n.k.Wasabato ni cult siyo dhehebu la dini. Uliona wapi watu wanasali Jumamosi?
Anglican napo 🤔Kila mtu akiwa dini flani huziona dini nyingine ni cult, waroma tunawashangaa kubusu misalaba, walokole tunawashangaa wachungaji kutajirika kwa sadaka za waumini, walitheran tunawashangaa kuruhusu wanawake kusalisha, n.k.
Kanisa la Anglican limepoteza mvuto kwa wengi, tofauti na ilivyokuwa zamaniAnglican napo 🤔
Aseeh Ila ukristo una madhehebu oyaah plus ministry khaaAnglican ni kanisa lililopoteza waumini wengi sana, si kama hapo zamani
Nafikiri mzee Zakaria yule tajiri wa mabasi aliyewapiga risasi wasiojulikana enzi za Jiwe ni Msabato. Mroma yule.
watajeWapo tele
wataje
Sio watu wa maonesho.Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.
Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?
Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?