The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Asante kwa taarifa. Sisi watu wa huku tunaona Kama wakerewe, wajita na wa ikizu ni wale wale TU.Wakerewe ni Wakatoloki wengi, Wajita ndio kuna Wasabato wengi, Wanyantunzu na Wajaluo haya ndio makabila yenye wasabato wengi kanda ya Ziwa
Kuna uwezekano mkubwa Mr Steve akawa msabato. Ina maana kama Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wake wa chama Kitaifa kama atafanya ziara tuseme pale Bunds jumamosi Mr Steve (Echikaka) hata hudhuria?Wasira nae si msabato?
WASABATO NDIO MAKARIDAYO NA WASADUKAYO wa zamani wale walio mtungia uongo masiha wa bwanaaWasabato ni cult siyo dhehebu la dini. Uliona wapi watu wanasali Jumamosi?
Watu wa mkoa wa MARA wengi wao ni wasabatoooo pia DODOMA wapo wasabatooooWasira nae si msabato?
Kanda ya ziwa wengi ni wasabatoWatu wa mkoa wa MARA wengi wao ni wasabatoooo pia DODOMA wapo wasabatoooo
Alivyo na njaa,hawezi kuacha kuhudhuria.Kuna uwezekano mkubwa Mr Steve akawa msabato. Ina maana kama Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wake wa chama Kitaifa kama atafanya ziara tuseme pale Bunds jumamosi Mr Steve (Echikaka) hata hudhuria?
Hakuna kabila la Wanyantuzu naona kukuelewesha hiyo ni jamii tu ya Wasukuma haswaWakerewe ni Wakatoloki wengi, Wajita ndio kuna Wasabato wengi, Wanyantunzu na Wajaluo haya ndio makabila yenye wasabato wengi kanda ya Ziwa
Anaongelea matajiri wewe unasema wako ujaluoni, tajiri anakaa ujaluoniWapo wengi tu huko kwa wajaluo tena wana ukwasi sio kitoto.
MkatolikiNafikiri mzee Zakaria yule tajiri wa mabasi aliyewapiga risasi wasiojulikana enzi za Jiwe ni Msabato.
Kwa mawazo yako tajiri hawezi kukaa ujaluoni!Anaongelea matajiri wewe unasema wako ujaluoni, tajiri anakaa ujaluoni
Haiwezekani huyo siyo tajiri ni mwenye unafuu tu hasa ukizingatia umasikini na halai mbaya ya RoryaKwa mawazo yako tajiri hawezi kukaa ujaluoni
Unajua milionea Zakaria anakaa wapi?Haiwezekani huyo siyo tajiri ni mwenye unafuu tu hasa ukizingatia umasikini na halai mbaya ya Rorya
Anaishi garage kama fundi pale TarimeUnajua milionea Zakaria anakaa wapi?
Ato mazeebu yanatofautiana imani lakin aya makanisa ya kilokolo yanachafua sanaa din ya ukristo sijui hata yametokea wapi hata imani yao sijui ni ipii ππ lakin vile vile hata Islamic nao wana madheebu mengi ukifatilia utayajua mfano mim hapa mahali nnapoishi kunamsikiti mmoja hawaingiagi waumin wengi hata rafik zangu waislam wapo jirani na uo msikiti sjawai waona wakiingia kusali kwenye uo msikiti lkn tofauti zao ni imani tu na kinachowafanya wawe wote islamic ni wanamuani mtume woteAseeh Ila ukristo una madhehebu oyaah plus ministry khaa
Aseeh ni htree sanaAto mazeebu yanatofautiana imani lakin aya makanisa ya kilokolo yanachafua sanaa din ya ukristo sijui hata yametokea wapi hata imani yao sijui ni ipii ππ lakin vile vile hata Islamic nao wana madheebu mengi ukifatilia utayajua mfano mim hapa mahali nnapoishi kunamsikiti mmoja hawaingiagi waumin wengi hata rafik zangu waislam wapo jirani na uo msikiti sjawai waona wakiingia kusali kwenye uo msikiti lkn tofauti zao ni imani tu na kinachowafanya wawe wote islamic ni wanamuani mtume wote
Ndio maana raisi kagame aya madheebu uchwala kapiga pin yote hawa viongozi wa walokole wanatumia sana mgongo wa dini kupiga pesa mkuu mpaka wanasababisha din ya ukristo ionekane haina maadiliAseeh ni htree sana