Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha inatosha mzee, πNdio maana raisi kagame aya madheebu uchwala kapiga pin yote hawa viongozi wa walokole wanatumia sana mgongo wa dini kupiga pesa mkuu mpaka wanasababisha din ya ukristo ionekane haina maadili
1. Andrew ChengeWasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.
Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?
Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
πππ wanakela mzee adi wakristo tuonaonekana jau kwasababu ya wahuni wachacheHahahaha inatosha mzee, π
Hahahahaha ngoja watoke kanisan baadae. Saa hz wapo kusifu ππππ wanakela mzee adi wakristo tuonaonekana jau kwasababu ya wahuni wachache
Sitajibu hata mmoja wataanza kunena kwa lugha hapaa πππHahahahaha ngoja watoke kanisan baadae. Saa hz wapo kusifu π
Nenda Mara na SameWasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.
Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?
Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
πππSitajibu hata mmoja wataanza kunena kwa lugha hapaa πππ
wanahesabikaNenda Mara na Same
hao wayahudi wenyewe wana matajiri wengi sana,Wasabato wamebase kwa Mungu wa wayahudi so utajili na wao ni vitu tofauti kabisa maisha ya Kati Yana raha sana na nirahisi kumcha Mungu wao tofauti na utajiri wa kupindukia
Wanaomfuata Baali ndio matajiri kwani Baali ukimpokea anakusave wewe ufanikiwe. Ndio changamoto walionayo waisrael.
upo sahihi,ila ni hivi juzi tu ndiyo wametambulika kama Kanisa baada ya kukubaliana na Fundisho la Utatu ila uko nyuma walihesabika kama Cult kwasababu walikuwa hawana fundisho ilo.Wasabato ni cult siyo dhehebu la dini. Uliona wapi watu wanasali Jumamosi?
Ahaa haaaah. Hilo tumbo lilianza kupokea chakula miaka 81 iliyopita. Halichoki?Alivyo na njaa,hawezi kuacha kuhudhuria.
Mkuu Joseph Magrin nimekucheki PMπππ wanakela mzee adi wakristo tuonaonekana jau kwasababu ya wahuni wachache