Kwanini ni ngumu Iran kuivamiwa na Marekani na vibaraka wake (Israel) kwa vikosi vya ardhini?

Kwanini ni ngumu Iran kuivamiwa na Marekani na vibaraka wake (Israel) kwa vikosi vya ardhini?

Watanzania tupoje: Yaani Tanzania ikaivamie Cameroon kwa ardhini?
Hahahahaha,shangaa na Wewe. Ani huyu jamaa amechangamsha jukwaa tu ila hamna Kitu amefikiri. First of All inachokifanya Israel kwa Iran ni ugaidi. Iran kama Taifa huru (sovereignty state) Lina haki ya kujiamulia mambo yake yenyewe bila kupangiwa na mtu. Sasa kulazimishwa na Israel isiwe na Nuclear weapons Tena kiasi Cha kufikia kushambuliwa kijeshi hiyo Haina tofauti na ilicho kuwa inafanya Al shabab kushambuliwa Kenya kijeshi Ili Kenya iondoe usaidizi wake Somalia.
Angalia kote ambako marekani na washirika wake wamepeleka land force kulikuwa na usaidizi wa Raia(wenyewe) wa Nchi husika. Kuanzia Cuba kwenye pig bay war mpaka ya hivi Karibuni huko Afrighanistan. Lakini Iran mambo ni tofauti kwa Sababu hakuna pande mbili hasimu. Wairan wote ni wamoja na hakuna anae msupport US hata kama wanachangamoto zao za ndani. Sasa unawezaje kumpeleka askari wa miguu kwenye Nchi kama hiyo .!? Kufanya hivyo ni marekani na Israel kupambana na Iran yote Kitu ambacho hakuna atakae Fanya Sio marekani Wala Israel kwa Sababu wanajua watapoteza mno na hakuna watakacho pata. Vita pekee wanayo weza kufanya ni Aerial warfare, espionage warfare na Vikwazo vya kiuchumi. Ila Land evasion Iran sahau hiloo. Maana jamaa Wana more than 1M active personnel Keep aside JKT Yao(basjil)
 
Mkuu tangu jiwe afe nakwenda kuzimu mazima unaichukia Sana CCM
sijawahi kuipenda ccm wala cdm,mimi huwa nina imani na sera za mtu.
yule jamaa pamoja na kwenda kuzimu,bado mliobaki mnapitia magumu kuliko aliyeko kuzimu.
 
Wajinga ni wengi Sana jamanii? Sijui itumike mbinu gani kuondoka na wajinga kama mtoa mada.... Sijawahi kuona vita ya namna hiyo duniani yaani unapita zaidi ya 3 kwenda kuvamia nchi nyingine?
Tanzania kuna vichaa wengi Sana
USA vs Iraq ilikuwaje? Jamaa walivuka nchi ngapi?
 
Back
Top Bottom