^Wahuni^ watasema eti una PhD ya uongo(zi) 🙂 Nimeona nianze kukutetea mapema, my dear.Huku mtaani kwetu nawasikia wa kike wakitamka mume wangu kuliko wa kiume kutamka mke wangu
Tena huku kwetu hata umuone mwanaume kavaa pete ya ndoa bado atasema yuko single
Huyu manzi mjanjamjanja sana, ukifuatilia coment zake utampenda tu...^Wahuni^ watasema eti una PhD ya uongo(zi) 🙂 Nimeona nianze kukutetea mapema, my dear.
Wanatafuta usawa, wakiita "mume" wanajiona wamejishusha, wanaita baba fulani ili nawao waitwe mama fulani Ili waonekane wana hadhi sawa na waume zao.Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana atasema baba fulani akimaanisha mume wake sasa ni kwa nini ?
Je ni culture yetu au Wanawake hawajiamini kiasi cha kuweza kutamka hilo neno“ Mume“ mbele ya Mume wake ?
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana atasema baba fulani akimaanisha mume wake sasa ni kwa nini ?