Kwanini ni ngumu kusikia Mwanamke akisema “Mume wangu“?

Tatizo wanaume mmejiwek ni wa wanawake wote( community husband)

Hivyo ni ngumu mwanamke kujidai mbele za watu kuwa ni mume wangu

Sana sana tutaishia kuwaita 'mume' tu.

Hyo wangu hapana, Mpk pale mtakapojirekebisha
 
Huku mtaani kwetu nawasikia wa kike wakitamka mume wangu kuliko wa kiume kutamka mke wangu

Tena huku kwetu hata umuone mwanaume kavaa pete ya ndoa bado atasema yuko single
Wewe mtoto wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni Wakwako Ndugu, wetu wanasema kutwa Mara 10, hata Kwenye mgegedo wanasema "Me wangu ndo wewe tu Na sijuto kuolewa Na wewe"
weye pata bichwa tu...iko siku utapotea kwa hiari....na hutorudi mazima....unajichekesha hapo... unaona umepatiaaaa...kuumbe Hamis mpemba muuza genge ndo anakula hapo.weye huku unapambwa......jitahidi uwe kauzu...mchunguze usije lea mitoto wewe ya watu!!! Usilee kifo!
 
Kwani nani hajui kati yetu ni mke au ni mume sisi tunaitana majina yetu na ni poa tuna umli Wa kuwa pamoja miaka 37.
 
mkuu hiyo shida ipo kwako tuu. Huenda kuna mume halisi amka wewe.
 
Hata hawa tunaookota huku jf tunawaita MUME WANGU , sema tu ni wazinguaji
 
mbona me bado ata sijamuowa yan nidem wngtu lakin ananiita mume wng??
 
Mpige matukio lazima ataje tu. Sasa wewe unakuwa na maisha yaliyonyooka atakuoa kaka yake. Ukishindwa hivo mpe hela
 
Kuna anayemwita jina la mahaba na wewe ni fala uliyejipendekeza kwa mahari na kwa sasa anakuombea ufe aponde maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…