mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
madhaifu yoye yanabebeka isipokuwa la kuwa msaliti na mchawi hayo HAPANA..!Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi
Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
😅eti eehKuutafuta ukamilifu wa mwanadanu ni sawa na kutaka kwenda mbinguni bila kufa/mateso/kuruka vihunzi.
Bugia chuma hicho!😅eti eeh
sio lazma iwe 100% iwe hata kwa 40-50%Hakuna mkamilifu
Unapata reflection yako, if huwez kuwa mwamifu so is mwenza wakoUnakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi
Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Huwezi pata mkamilifu akati we mwenyewe si mkamilifu.Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi
Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
basi iwe hata 40-50%Being Perfect is Imperfect...., And Perfection by whose Standards ? Kama wote tungekuwa na vigezo vinavyofanana basi wengi wangekosa wenza...
To each their own....
Na wao wanakushangaa kwa usiyoyajuaUnakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi
Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Ukiona hata 40 haupati kwa vigezo vyako basi huenda tatizo lipo kwenye hivyo vigezo. Jaribu kuwa realistic.basi iwe hata 40-50%
Ukiweka 40-50% bado sio mkamilifu ndo maana haijawa 100% na jaribu kuangalia vigezo ulivyoweka je ni realistic??basi iwe hata 40-50%
Wewe mwenyewe ni mkamilifu?Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au