chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Ukitaka kuzitaja hizi timu mbili kwa pamoja utakuta automatically ina sound kuanza na Simba kisha Yanga.
"Simba na Yanga"
"Simba na Yanga"
Kati ya S na Y inaanza ipi?
RSTUVWXYZKati ya S na Y inaanza ipi?
mbona Madrid na Barcelona haizingatii herufiKati ya S na Y inaanza ipi?
sio mabibi na mabwana ?Ni sawa na Bwana na bibi
acha madharauuuuu kijanaaaaLazima uanzie jina la mwanaume ndio afate mkewe.
It's like ladies and gentlemen .... nadhani nimeelewekaUkitaka kuzitaja hizi timu mbili kwa pamoja utakuta automatically ina sound kuanza na Simba kisha Yanga.
"Simba na Yanga"
Wewe una hazina ya ban ya wiki moja.Uandike kwa adabu.Moja bila mkubwa wewe!Yes. Ndo nlitaka kumwambia logic yake.
Wewe una hazina ya ban ya wiki moja.Uandike kwa adabu.Moja bila mkubwa wewe!