Kwanini ni rahisi kusema Simba na Yanga kuliko kusema Yanga na Simba?

Ni protocol/itifaki tu, simba ndiyo kubwa, ni sawa na kusema kurwa na doto kuliko doto na kurwa
 
Simba ni zao la Yanga... Yaani Simba ni mtoto na Yanga ni baba... Jina linaanza la mtoto na linafata la baba.
 
Kwani uliwahi kuona wapi utambulisho wa familia unaanza kumtaja mama ndio unafata baba.

Lazima uanze kusema BABA na MAMA ndio heshima kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…