Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

kwa nini hua mnasema mke na mume na hamuanzi wale ni mume na mke

it is phonology hapo ndio inafanya sound ya simba ianze
Wapi huko huwa wanaanza kumtambua mke kisha afuate mume ?
Ukiona inatamkwa hivyo ujue huyo mwanaume ni boya anatawaliwa na mke wake,
 
Heshima za kiafrica huanza kutambulishwa Baba ndio mama anafata kutambulishwa.
 
Kuna mabibi na mabwana hakuna mabwana na mabibi, ladies and gentlemen hakuna Gentle men and ladies, always ladies first. soma tena
 
Baba na Mama !
Mama na Baba haisound
 
Hivi jina halisi la Yanga na Yanga Africa au Younger African.
Naomba mnijuze wajumbe
Jina halisi ni Young Africans hilo la Yanga limetokana na watu wa zamani kushindwa kutamka maneno ya kingereza na kuishia kuyaharibu. Yapo maneno mengi tu yaliyobadilishwa kutokana na kushindwa kutamka.

Mfano kule Kilombero kuna sehemu kunaitwa Ziginali au Siginali wakati neno halisi ni Signal.
2) Dar es Salaam kuna sehemu kunaitwa Kawe wakati neno halisi ni cow way
3) Kariakoo neno halisi ni carrier corps. Hayo ni baadhi ya mifano ila yapo maneno mengi sana.
 
Inategemea na shabiki anatokea wapi kati ya hizo timu, ataanza na timu yake. Pia ulimi utateleza na lipi. Wala si kila mtu huanza na paka Oops🫒 simba.
#YangabingwaπŸ€‘
 
Yanga ndiyo timu iliyoanza baadae kikundi furani cha wahuni wakajitenga ndiyo kuja kutokea simba hivyo yanga hawezi kumpinga simba yaani vs lkn ni lazima simba vs yanga ndiyo maana mpingaji anaanza baadaye anafuata anayepigwa

Yanga ni kubwa ilianza miaka kadhaa ndiyo akaja simba
 
Mmenikumbusha ugali WA 'Yanga'. Ulikuwa mbaya SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani katika hali ya kawaida kabisa! Kati ya mtoto na mkubwa/mwenye cheo na kapuku! Unaanza kumtambulisha nani? Nani ataanzwa kwwnza kutajwa, na nani atawekwa mwishoni?

Kati ya disco toto na lile la wakubwa, lipi kinaanza? Mifano ni mingi sana.
 
Ni bibi na bwana'ake.
 
Hivi jina halisi la Yanga na Yanga Africa au Younger African.
Naomba mnijuze wajumbe
young African ndio jina halisi,yanga ni nick name imbayo imejitokeza tu nafikiri matamshi ya watu aidha baada yakushindwa kutaja vyema "young" jambo hili hujitokeza sana ktk lugha ni kama utohoaji wa maneno tu!.
na jina hili yanga hutumika zaidi hapa Tanzania timu ilipoanzishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…