The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Wapi huko huwa wanaanza kumtambua mke kisha afuate mume ?kwa nini hua mnasema mke na mume na hamuanzi wale ni mume na mke
it is phonology hapo ndio inafanya sound ya simba ianze
Ukiona inatamkwa hivyo ujue huyo mwanaume ni boya anatawaliwa na mke wake,