tutakutana kiwanjani utafuta tu...π
sawa siku yaja na goti utapiga..πHeri nife kwa aibu lakini sifuti π
Vipi kuhusu jina Dar Young Africans?Jina halisi ni Young Africans hilo la Yanga limetokana na watu wa zamani kushindwa kutamka maneno ya kingereza na kuishia kuyaharibu. Yapo maneno mengi tu yaliyobadilishwa kutokana na kushindwa kutamka.
Mfano kule Kilombero kuna sehemu kunaitwa Ziginali au Siginali wakati neno halisi ni Signal.
2) Dar es Salaam kuna sehemu kunaitwa Kawe wakati neno halisi ni cow way
3) Kariakoo neno halisi ni carrier corps. Hayo ni baadhi ya mifano ila yapo maneno mengi sana.
Hilo la Dar halipo, ni Young Africans.Vipi kuhusu jina Dar Young Africans?