Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

Jina halisi ni Young Africans hilo la Yanga limetokana na watu wa zamani kushindwa kutamka maneno ya kingereza na kuishia kuyaharibu. Yapo maneno mengi tu yaliyobadilishwa kutokana na kushindwa kutamka.

Mfano kule Kilombero kuna sehemu kunaitwa Ziginali au Siginali wakati neno halisi ni Signal.
2) Dar es Salaam kuna sehemu kunaitwa Kawe wakati neno halisi ni cow way
3) Kariakoo neno halisi ni carrier corps. Hayo ni baadhi ya mifano ila yapo maneno mengi sana.
Vipi kuhusu jina Dar Young Africans?
 
Mkuu unajua mambo ya Home and Away (Kama ni wakati wa Timu ya Nyumbani Kucheza basi ile Home ndio inaanza)

Kama ni mechi ambazo hakuna aliyepo nyumbani (mfano World Cup) au Champions League Final Favourite kwa wakati huo ndio anaanza...
 
Huwezi anza Gentlemen and ladies. Lazima iwe Ladies and Gentlemen
 
Back
Top Bottom