Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Nope, kuwa singo afu una hela, hasa hasa saaana ulimbo ni gari, ukiwa na gari aisee utakuwa km yule jamaa Hugh Hefner playboyLove inakuwa prompted na kitu kinaitwa Pheromones ( aina fulani ya hormones). Hizi ndiyo huamsha upendo kwa jinsia nyingine.
Na mwili hutoa sana hiI hormones kama unangonoka mara kwa mara. Kama hungonoki hormones hizi hazitoki hivyo ukipishana na jinsia nyingine huamshi mzuka , unakuwa kama dada/Kaka take.
Sent using Jamii Forums mobile app