Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Nope, kuwa singo afu una hela, hasa hasa saaana ulimbo ni gari, ukiwa na gari aisee utakuwa km yule jamaa Hugh Hefner playboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa unakuta wanaosota wako goodlooking lakini kila wakitongoza hata demu malaya wa mtaa holaa, lakini wewe msela kabwela ukiwa na totoz mbili tu utawatia madem wakali kibao tu, mpaka nikajiuliza wananusa vip kama huyo mgwadu na huyu mgawa dozi.
 
Kila mwanamke anataka mwanaume mwenye hela af singo, askudanganye mtu...mi nimeshuhudia na nimeridhika na utafiti wangu, ila kitu kingine, mwanaume mwenye mwanamke mzuri kuliko hapo mtaani anababaikiwa na wanawake wengi hapo mtaani, ambao sio wazuri kumzidi mwanamke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
Law of attraction like attracts like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa unakuta wanaosota wako goodlooking lakini kila wakitongoza hata demu malaya wa mtaa holaa, lakini wewe msela kabwela ukiwa na totoz mbili tu utawatia madem wakali kibao tu, mpaka nikajiuliza wananusa vip kama huyo mgwadu na huyu mgawa dozi.
Hela, ni pesa tuu, hamna ishu nyingine, sio uhandsome sio ushababi, sio genetics, ni hela, Diamond platnumz anaweza kumla mwanamke anayetaka yeye kwasababu ana image ya hela, so sio uhandsome haaata, usidanganyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu point ya hela umeikazania sana.

lakini uko sawa.
 
mkuu point ya hela umeikazania sana.

lakini uko sawa.
Yap, hamna kitu chochote kinachompendeza mwanamke km hela, pesa, dolari, tusiongopeane wakuu, hela ndo inaanza afu huo uhandsome unafatia, wakuu watasema mbona mwenye hela anamegewa ndio ila anamegewa na asiye na hela kwa sababu mwanamke kashajitosheleza upande wa hela, so hii "hela" hii ndo ishu, inamaliza kila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bingo...uko sawa mkuu
 
umeeleza fresh sana, sasa je wanajuaje kama huyu yuko singo mpaka akupe kibuti at the firt time mnaonana wakat huo huo mwenye totoz hata akiwa kawaida tu atabeba mzgo fastaa...
 
umeeleza fresh sana, sasa je wanajuaje kama huyu yuko singo mpaka akupe kibuti at the firt time mnaonana wakat huo huo mwenye totoz hata akiwa kawaida tu atabeba mzgo fastaa...
Perception, hawez kujua km una totoz km hakujui, hamna mtu mwenye totoz akatoka anapokaa na masuruali yake akaenda mtaa wa jirani hafahamiki akapata totoz kwasababu tu ana totoz mtaa alipotokea, nop hiyo haipo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ishu inayovutia wadada ni hela tuu, km hamna hela wala usidanganyike, true love inafuat baadae, hata mswati ana wanawake km wotee mabikra kwasababu ni mfalme sio kwa sababu anapiga gem safi, na wanawake wanawapeleka mabikra wao kwasababu wanajua wanalelewa na mfalme, think clearly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
Kakudanganya nani? Tatizo watu mnategemea nguvu zenu wenyewe badala ya kumwomba mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…