Kwanini ni vigumu kwa Tanzania kupata wawekezaji wapya katika mazingira ya sasa

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,777
..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.

South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?

Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.

Kuna
..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions. South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu? Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.
 
Wataje hao wezi walioshirikiana na viongozi wenu,usipo wataja wewe ni mataga
 
Kuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.

..bila shaka ni viongozi wa ccm.
 
Kuna mtu mwenye akili timamu atakaedhani atapata faida kwenye uwekezaji wake mahali ambako anaona kuna namna ambayo serikali inaweza kubadilisha sheria jukwaani?
 
Uchumi umekua kwa 7.2%, mambo makubwa yanazinduliwa, umeme wa uhakika kutoka Stigler George, SGR ya mwendo kasi inayotumia umeme, raia walioelimika kwa elimu ya bure.....wawekezaji hawana sababu za kutowekeza Tanzania, acheni ngojera.
Cha msingi ni kuwa, hamna unyonyaji tena, wanaokuja lazima wakubali kula na Watanzania kwa mgao wa pasu, sio kuchmba madini na kuondoka nayo.
 
Kuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.

Kakudanganya nani kuwa Saudi Arabia au China hakuna predictable environment kutokana na sheria zao?
 
Uchumi umekua kwa 7.2%, mambo makubwa yanazinduliwa, umeme wa uhakika kutoka Stigler George, SGR ya mwendo kasi inayotumia umeme, raia walioelimika kwa elimu ya bure.....wawekezaji hawana sababu za kutowekeza Tanzania, acheni ngojera.
Cha msingi ni kuwa, hamna unyonyaji tena, wanaokuja lazima wakubali kula na Watanzania kwa mgao wa pasu, sio kuchmba madini na kuondoka nayo.

Endeleeni kujidanganya. Tanzania itakuwa casket case chini ya miaka mitano ijayo. Kuna elimu gani inayotolewa nchi hii, hiyo inayozalisha wahitimu wasiojua hata kutunga sentensi moja ikaleta maana? Elimu antiquated ambayo ni irrelevant hata kwenye business world miaka ya 90?
Unataja miradi ambayo hata kukamilika kwake bado achilia mbali uendeshaji wake haujulikani itakavyokuwa? Mnashindwa ku-manage vitu vidogo vidogo kama kuuza korosho, tumbaku na pamba, mtaweza kitu gani?
 
Investors wanafanya investment kutokana na return ya investment. Usidanganywe na mtu kila nchi ina potential yake. SA watapata tabu sana kutokana na ukoloni uliokuwepo, itawachukua muda kurudi kwenye gurudumu la maendeleo yaliyokuwepo kwa sababu Waafrika nao lazima wafaidi keki ya taifa. Angalia Zimbabwe walikokuwa na walivyo hivi sasa..

Tanzania hivi sasa JPM anafanya kazi nzuri japo anaandamwa na mataifa makubwa maana ameamsha dude ambalo hawawezi kulizuia. Bado wanalialia kama katoto kadogo kalikokosa lawalawa kuhusu Mwl Nyerere dam.
 
..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.
South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?
Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.

Chuki binafsi na BASHITE
 
Investors wanafanya investment kutokana na return ya investment. Usidanganywe na mtu kila nchi ina potential yake. SA watapata tabu sana kutokana na ukoloni uliokuwepo, itawachukua muda kurudi kwenye gurudumu la maendeleo yaliyokuwepo kwa sababu Waafrika nao lazima wafaidi keki ya taifa. Angalia Zimbabwe walikokuwa na walivyo hivi sasa..

Tanzania hivi sasa JPM anafanya kazi nzuri japo anaandamwa na mataifa makubwa maana ameamsha dude ambalo hawawezi kulizuia. Bado wanalialia kama katoto kadogo kalikokosa lawalawa kuhusu Mwl Nyerere dam.
Acha chuki ana kipi cha kuandamwa na hao wanaochangia bajeti 50%.Mabeberu wanataka watu makini wanaowezasaidikika,
 
Investors wanafanya investment kutokana na return ya investment. Usidanganywe na mtu kila nchi ina potential yake. SA watapata tabu sana kutokana na ukoloni uliokuwepo, itawachukua muda kurudi kwenye gurudumu la maendeleo yaliyokuwepo kwa sababu Waafrika nao lazima wafaidi keki ya taifa. Angalia Zimbabwe walikokuwa na walivyo hivi sasa..

Tanzania hivi sasa JPM anafanya kazi nzuri japo anaandamwa na mataifa makubwa maana ameamsha dude ambalo hawawezi kulizuia. Bado wanalialia kama katoto kadogo kalikokosa lawalawa kuhusu Mwl Nyerere dam.

Mataga mnaishi nchi ya kusadikika kama si kufikirika. Tanzania hii iandamwe na mataifa makubwa halafu bado ibaki? Kuna kitu gani nchi hii inaweza kufanya peke yake? Hilo bundle ulipojiunga unajua infrastructure inayowezesha wewe kufanya hivyo unajua inamilikiwa na nani? Unajua kuwa huwezi kufanya transaction hata moja wakiamua?
Eti Magufuli anaandamwa na mataifa makubwa! You guys need your heads examined by qualified medical staff.
 
Kuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.
Huko wameangalia factor ya uhakika wa soko sasa kampuni kubwa itawekeza vipi kwenye nchi masikini ambayo mtaji wa kampuni tu ni sawa na bajeti ya nchi
 
Nenda pale TIC uone jinsi wawekezaji wanavyopishana.
P

And presumably ndio wanaowezesha viwanda vitatu kujengwa kila dakika. Kwa mujibu wa data zilizotolewa majuzi. Na viwanda au biashara hizo zinazotokana na wawekezaji hao wanaopishana TIC zinatumia teknolojia isiyohitaji waajiriwa.
Nakubaliana nawe.
 
Back
Top Bottom