Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
..subiri MATUSI kutoka kwa UV-CCM na MATAGA.
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko...hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions. South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu? Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Wataje hao wezi walioshirikiana na viongozi wenu,usipo wataja wewe ni matagaKuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.
Kuna

Uchumi umekua kwa 7.2%, mambo makubwa yanazinduliwa, umeme wa uhakika kutoka Stigler George, SGR ya mwendo kasi inayotumia umeme, raia walioelimika kwa elimu ya bure.....wawekezaji hawana sababu za kutowekeza Tanzania, acheni ngojera.
Cha msingi ni kuwa, hamna unyonyaji tena, wanaokuja lazima wakubali kula na Watanzania kwa mgao wa pasu, sio kuchmba madini na kuondoka nayo.
Chuki binafsi na BASHITE..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.
South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?
Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Acha chuki ana kipi cha kuandamwa na hao wanaochangia bajeti 50%.Mabeberu wanataka watu makini wanaowezasaidikika,Investors wanafanya investment kutokana na return ya investment. Usidanganywe na mtu kila nchi ina potential yake. SA watapata tabu sana kutokana na ukoloni uliokuwepo, itawachukua muda kurudi kwenye gurudumu la maendeleo yaliyokuwepo kwa sababu Waafrika nao lazima wafaidi keki ya taifa. Angalia Zimbabwe walikokuwa na walivyo hivi sasa..
Tanzania hivi sasa JPM anafanya kazi nzuri japo anaandamwa na mataifa makubwa maana ameamsha dude ambalo hawawezi kulizuia. Bado wanalialia kama katoto kadogo kalikokosa lawalawa kuhusu Mwl Nyerere dam.
Investors wanafanya investment kutokana na return ya investment. Usidanganywe na mtu kila nchi ina potential yake. SA watapata tabu sana kutokana na ukoloni uliokuwepo, itawachukua muda kurudi kwenye gurudumu la maendeleo yaliyokuwepo kwa sababu Waafrika nao lazima wafaidi keki ya taifa. Angalia Zimbabwe walikokuwa na walivyo hivi sasa..
Tanzania hivi sasa JPM anafanya kazi nzuri japo anaandamwa na mataifa makubwa maana ameamsha dude ambalo hawawezi kulizuia. Bado wanalialia kama katoto kadogo kalikokosa lawalawa kuhusu Mwl Nyerere dam.
Huko wameangalia factor ya uhakika wa soko sasa kampuni kubwa itawekeza vipi kwenye nchi masikini ambayo mtaji wa kampuni tu ni sawa na bajeti ya nchiKuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.
Nenda pale TIC uone jinsi wawekezaji wanavyopishana.
P