Kwanini ni vigumu kwa Tanzania kupata wawekezaji wapya katika mazingira ya sasa

Kakaririshwa ajui dunia tunaishi kwa kutegemeana
 
Wawekezaji hawawezi kuwekeza pesa zao kwenye nchi ambayo haina vipaumbele uchumi wa wananchi umeshuka wanazidi kuwa maskini mbona tungeona hivyo viwanda vinajengwa kila siku kiufupi ata makampuni mengi sasa yapo hoi wateja hamna wakulima na wafanyakazi wanazidi kuw masikini
 

Ndio ulipogota hapo. Yaani mimi nipimwe na wewe ndio mwerevu, hao unaofikiri hawamwandami bado wanalialia kuhusu issue ya Mwl Nyerere Dam, kisa tutapata umeme wa nafuu na wa kuweza kuendesha viwanda nchini. Kama hulioni hilo basi wewe una matatizo binafsi. Kuhusu transaction ni zipi hizo? Tanzania ni unique, tupo top 4 kwenye utalii Africa then wewe unafikiri we do not matter. Hiyo shule uliyokwenda kusoma sijui ulisoma nini? USA na UK waliwasihi raia wao wasiende Tanzania kwa kuhofia ebola leo hii wanaondoa bila kukiri kwamba walikosea. Kuna mambo mengi sina haja ya kurudia rudia hii ni vita ya uchumi kati ya Tanzania ie black African country na wenzetu weupe.
 
Hahaha wasipoondoka na madini mtayafanyia nini nyie?!

Unadhani wanaenda kuyavaa shingoni kama nyie?!

Madini lazima waondoke nayo, nyie vaeni shanga viunoni.

Mnadanganywa 50/50 halafu hamtaki kuchangia uwekezaji, na uzalishaji, lakini mnataka benefits 50/50, endeleeni kusubiria vya bure muone.
 
Acha chuki ana kipi cha kuandamwa na hao wanaochangia bajeti 50%.Mabeberu wanataka watu makini wanaowezasaidikika,

Unaweza kuweka hiyo budget ambayo inaonyesha tunategemea 50%? Mimi niwe na chuki ili iweje?
 
Unaweza kuweka hiyo budget ambayo inaonyesha tunategemea 50%? Mimi niwe na chuki ili iweje?
Chuki unaongea usivovijua,nani anagharamia miradi ya HIV,magonjwa,unajua maana ya kwa hisani ya watu wa ...,huu mradi unafadhiliwa na....,unayajua magari ya DFP,nchi gani ya kiafrica inayoweza simama bila wao, hata kuhudumia wakimbizi Africa ni wao.
 
Uwekezaji nchi hii haukuwa uwekezaji bali uporaji. Maana mtu anassmehewa kodi miaka 5 anafanya biashara, then miaka mitano ikiisha anauza biashara kwa kisingizio cha kupata hasara, ki msingi hauzi ila anabafilisha bisiness name, kampuni na wahusika wakuu ila anabakia kuwa yuleyule anapiga miaka 5 tena ikiisha anauza tena . Bora uwekezaji wa aina hii usije nchini kwetu. Acha anko awabane wametuibia sana
 

Dah! inaelekea unawaabudu hawa watu, ni hatari. Hongera zako.
 
Chuki unaongea usivovijua,nani anagharamia miradi ya HIV,magonjwa,unajua maana ya kwa hisani ya watu wa ...,huu mradi unafadhiliwa na....,unayajua magari ya DFP,nchi gani ya kiafrica inayoweza simama bila wao, hata kuhudumia wakimbizi Africa ni wao.

Yaani wewe ni pimbi kabisa huna hata aibu. HIV ilitengenezwa na hao hao wanaokuuzia dawa. Leo unafikiri wanakusaidia. Wake up and smell the coffee. Tanzania tuna wakimbizi lukuki na tumeamua kuwarudisha Burundi na Congo na nchi zinginezo wewe bado unaota ndoto. FYI we are paying for their debt. Nani aliwaloga nyie.
 
Dah! inaelekea unawaabudu hawa watu, ni hatari. Hongera zako.
Wewe ukipewa almasi au dhahabu utaifanyia nini, kama sio kuiuza?!

Na huyo unayemuuzia unadhani wanaenda kuivaa kiunoni?!

Lazima aondoke nayo, unadhani serikali ingekuwa na matumizi ya haya madini ingeuza nje?!

Sasa ukiwauzia, ulitaka wakae nayo humu ndani ili iweje?!
 
Nilishaacha kumuamini huyu mzee kwa jinsi alivyokuwa muongo tangu awazulumu wakulima wakorosho huku akijimwafai kila mara kuwa madeni yote amelipa
Deni la taifa lipo juu sana ni ngumu umeme kushuka wakati gharama zakuzalisha ni kubwa
 
Nilishaacha kumuamini huyu mzee kwa jinsi alivyokuwa muongo tangu awazulumu wakulima wakorosho huku akijimwafai kila mara kuwa madeni yote amelipa

Wewe huna haja ya kumwamini hiyo ni issue yako. You are a free person, Watanzania tulio wengi tuna imani naye ndio democracy hiyo kama hutaki kajinyonge.
 

Benefits ya 50/50 kwa sababu ardhi ni ya Watanzania, walipewa na Mungu, hao wazungu waje wawekeze kwenye kuchimba kwenye ardhi ya Watanzania kisha wagawane pasu, habari imeisha.
 
Lakini ukumbuke hata kama inchi haina uhuru wa kufanya uwekezaji kwasababu ya kukosa sheria jumuishi ya kitaifa na kimataifa huwa kuna majadiliano na makubaliano baina ya taifa na taifa na hiki kitu kwetu hatuna.
Mfano Marekani na Russia, Russia na China pia Marekani na China huwa wana makubaliano binafsi ambayo huhusianisha makubaliano hayo na taifa na taifa ili itakapotokea tatizo la mgogoro kati ya taifa na taifa kampuni ipate nguvu kutoka katika taifa lake.
Mfano ni Huawei ilipo pata migogoro kule Marekani serikali ya China imejitahidi kufanya kila kitu kuhakikisha Huawei haianguki kabisa.
Kwa hizi kodi zetu nyingi mno hata makubaliano binafsi kati ya taifa na taifa tukiyafanya hayawezi kuwa na tija kwa sababu hata Serikali taifa hatuna sauti ya pamoja Waziri anasema hivi, Mkoa wanasema vile , Wilaya wanasema vile Bunge na Mahakama hao ndio basi tena.
 
Nani aliyewakuwa akihudumia wakimbizi, hata kama HIV imeletwa na wao kwann sie ndo waathirika wakuu bila wao tungeshafutika wengi
 
True unakuta mwanasiasa tu tena DC kama sabaya au happy ajui hata TIC wamefanya kazi ngumu kumshawishi MTU awekeze,wao ni kujisomba na makamera weka ndani nataka uwe umelipa siku saba,wanatafuta kiki za kisiasa mbele ya makamera kwa expenses za kudhalilisha watu ili wamridhishe boss wao.Matajiri wameambiwa wataishi kama mashetani na imesikika dunia nzima hata kwa vitendo kina Manji wamesukumizwa ndani kwa kesi za kubambikwa.Nyuma ya matajiri wazawa kuna wawekezaji wageni kama wamefanyiziwa waishii kishetani wengine walilala mbele kukimbiza nje mitaji yao nani mwenye akili timamu wa kuchezea shilingi chooni.
 
Dah, ila bado taifa lina watu wajinga sana pamoja na shule mlizoenda. Ni hatari kuwa na watu wanaofikiri katika namna kama yako mkuu.
Na je malaria nayo imeletwa na nani? Maradhi ya Moyo, tezi dume, kifua kikuu, kipindupindu nk yote yameletwa na wazungu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…